fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,617
- 8,244
Kwa kazi ya uspika mie pia naunga mkonoZa chini ya kapeti zinaonesha kuwa kuna kundi la watu wa Kitengo wamemtafuta mpaka kumpata na tayari ameshajuzwa kuwa kuna Baraka zote yeye agombee Uspika amalizie awamu hii ili aje kumwachia Tulia. Inasemekana kuwa hao watu wa Kitengo wametonywa wazo hilo na Tulia mwenyewe baada ya yeye kuwaeleza bado anatafuta uzoefu zaidi na kusema ambaye anaweza kumwachia uzoefu huo ni Msomi Wakili mwenzake Mzee Chenge! Period!
Itoshe kuwaita wachumia tumboHiyo miamba iliovaa mashati ya kijani ni wakina nani?
2022-1945Hivi Chenge ama miaka mingapi huyu baba
Hizo taarabu nenda ukaimbie Kwenye geti la Lumumba huku umebeba na bangoWadau Napendekeza Kijana Wenu HUMPHREY POLEPOLE Apendekezwe Kuwa SPIKA MPYA
Sifa na anazo za KUTOSHA na Uzoefu wa Kuongoza View attachment 2073153
Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
View attachment 2073146
kinana hawez kuwa spika! uspika sio lelemama! mwendo wa vifunguIkitokea kweli kinana akachukua fomu lukuvi akatizi ila yote kwa yote Lukuvi hawezi kuwa spika. Jina la spika mpya litashangaza wengi