fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,617
- 8,244
Kwa kazi ya uspika mie pia naunga mkonoZa chini ya kapeti zinaonesha kuwa kuna kundi la watu wa Kitengo wamemtafuta mpaka kumpata na tayari ameshajuzwa kuwa kuna Baraka zote yeye agombee Uspika amalizie awamu hii ili aje kumwachia Tulia. Inasemekana kuwa hao watu wa Kitengo wametonywa wazo hilo na Tulia mwenyewe baada ya yeye kuwaeleza bado anatafuta uzoefu zaidi na kusema ambaye anaweza kumwachia uzoefu huo ni Msomi Wakili mwenzake Mzee Chenge! Period!
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app