Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Ana elimu ya hapa na pale.Nawaambieni lukuvi anaandaliwa, atapewa wizara nyingine, kuna tetesi kuwa ataweza kuwa spika au kumkaimu matelephone mark my word.........Lukuvi ametolewa kwa mkakati ili awekwe mahali kimkakati