Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Hakafai hata kidogoKanaonyesha hata mumewe kanampelekesha sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakafai hata kidogoKanaonyesha hata mumewe kanampelekesha sana
Tunafukuza chawaNaandika maneno machace sana....Kabudi ndiye spika Mpya...
Wanakuweka madarakani, wanakutoa madarakani halafu wanajiweka Madarakani Waite kwa Lugha ya PolepoleNaandika maneno machace sana....Kabudi ndiye spika Mpya...
Uspika sasa ni wazi ni Dr TuliaNaandika maneno machace sana....Kabudi ndiye spika Mpya...
Natamani William Lukuvi next PMJulius Nyerere
Rashid Kawawa
Edwad Sokoine
Cleopa msuya
Edwad Sokoine (second time)
Salim A Salim
Joseph Warioba
John Malechela
Cleopa Msuya (Second time)
Fedrec Sumaye
Edwad Lowassa
Mizengo pinda
Majaliwa Majaliwa
Who is next?
Kila siku ni kuunda baraza la mawaziri?Pindi tutakapopata Spika Mpya Waziri Mkuu atajiuzulu kwa hiari au kulazimishwa. Then Mama ataunda serikali yake kamili na mpya ya awamu ya sita
Hiyo ndio kazi anayoiweza..Waziri mkuu hawezi jiuzulu. Akijiuzulu maana baraza la mawaziri limevunjika. Ina maana Samia apange tena upya baraza la mawaziri ?Sasa itakuwa utoto.
Kwani kafanya nn mkuu?Yaani PM hana hata aibu angeng'atuka tu.
Hata akijiuzulu hakutokua na effect yoyote. Tumeshajizoelea na nchi yetu hamna kufuata sheriaWaziri mkuu hawezi jiuzulu. Akijiuzulu maana baraza la mawaziri limevunjika. Ina maana Samia apange tena upya baraza la mawaziri ?Sasa itakuwa utoto.
Oscar OscarJulius Nyerere
Rashid Kawawa
Edwad Sokoine
Cleopa msuya
Edwad Sokoine (second time)
Salim A Salim
Joseph Warioba
John Malechela
Cleopa Msuya (Second time)
Fedrec Sumaye
Edwad Lowassa
Mizengo pinda
Majaliwa Majaliwa
Who is next?