Nani anafaa kuwa Spika mpya wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

Nani anafaa kuwa Spika mpya wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

Kabudi kama Lukuvi Wana jazba hawana uhimilifu wa hoja wakibanwa wanapaniki hawafai.
Tukikosa bora hata apewe polepole atatupeleka Pole pole lakini tutafika
 
Huyu Aliyekunywa Dawa Ya Madagascar Pekee Yake
 
Kwa jinsi bunge lilivyo halimfai huyo jamaa!,lingekuwa na upinzani hapo sawa.
 
271140389_2103653003132840_619362641353088810_n.jpg
 
Julius Nyerere
Rashid Kawawa
Edwad Sokoine
Cleopa msuya
Edwad Sokoine (second time)
Salim A Salim
Joseph Warioba
John Malechela
Cleopa Msuya (Second time)
Fedrec Sumaye
Edwad Lowassa
Mizengo pinda
Majaliwa Majaliwa

Who is next?
Oscar Oscar
 
Back
Top Bottom