Nani anafaa kuwa Spika mpya wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

Nawaambieni lukuvi anaandaliwa, atapewa wizara nyingine, kuna tetesi kuwa ataweza kuwa spika au kumkaimu matelephone mark my word.........Lukuvi ametolewa kwa mkakati ili awekwe mahali kimkakati
Ana elimu ya hapa na pale.
 
Sasa PM anakuwaje? Kwamba Baraza la mawaziri litavunjwa ili achaguliwe kuwa Waziri Mkuu?
Ni simple tu katelefone anaambiwa ebu tangaza kujiuzulu tu
 
Nawaambieni lukuvi anaandaliwa, atapewa wizara nyingine, kuna tetesi kuwa ataweza kuwa spika au kumkaimu matelephone mark my word.........Lukuvi ametolewa kwa mkakati ili awekwe mahali kimkakati
Hapo kwa matelephone nimepapenda.😁😁😁😁
 
Ni simple tu katelefone anaambiwa ebu tangaza kujiuzulu tu
Sasa kama alikuwa anataka kumtoa Majaliwa hakuwa na sababu ya kulifanyia marekebisho baraza la mawaziri leo...angeaza na PM moja kwa moja then angetangaza upya baraza la mawaziri.
 
Hujanipata mkuu kwani ukimfuta kazi pm inakulazimu kuvunja bunge?

Hizo gharama za kurudia uchaguzi unazicover na fedha gani wakati watu ni ombaomba?
 
Nawaambieni lukuvi anaandaliwa, atapewa wizara nyingine, kuna tetesi kuwa ataweza kuwa spika au kumkaimu matelephone mark my word.........Lukuvi ametolewa kwa mkakati ili awekwe mahali kimkakati
Acha kujipa moyo wewe
 
Ni simple tu katelefone anaambiwa ebu tangaza kujiuzulu tu
Mabavicha hata hayajui sheria
PM akishajiuzulu maana yake baraza zima limevunjika
Kwa akili yako hii,Rais asingetangaza mabadiliko angeanza na PM
Halafu kwa nini mnamuogopa sana PM?
 
  • Thanks
Reactions: Ilu
Mabavicha hata hayajui sheria
PM akishajiuzulu maana yake baraza zima limevunjika
Kwa akili yako hii,Rais asingetangaza mabadiliko angeanza na PM
Halafu kwa nini mnamuogopa sana PM?
Hatumuogopi bali ni sukuma gang kundi hatari
 
Mabavicha hata hayajui sheria
PM akishajiuzulu maana yake baraza zima limevunjika
Kwa akili yako hii,Rais asingetangaza mabadiliko angeanza na PM
Halafu kwa nini mnamuogopa sana PM?
Tunafurahia sana kuona sukuma gang ikizidi kukatwa viuno
 
Back
Top Bottom