Nani anafaa kuwa Spika mpya wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

Nani anafaa kuwa Spika mpya wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

Huyo Zungu sitaki hata kumuona hapo ntasali usiku na mchana ili asifikie hapo anakera hata kumtazama tu!

Kama kuna kumchukia mtu basi nafikiri huyo mjamaa ninamchukia mno.nambar 1

Mzee wa tozo...
 
Sio Likuvi tena jamani. Si tangu juzi mnasema ni Lukuvi asa mmebadili tena
 
Hii serikali ni ya kutengeneza ulaji tu! Hamna kingine yani maswala ya kuelekeza nguvu kwenye maendeleo ni 5% huku 95% ni wizi na kujilimbikizia Mali!

Nadhani ndio tunarudi kule, demokrasia ni kuiba bila kufatiliana😅
 
Say what_.jpg
 
Hii serikali ni ya kutengeneza ulaji tu! Hamna kingine yani maswala ya kuelekeza nguvu kwenye maendeleo ni 5% huku 95% ni wizi na kujilimbikizia Mali!

Nadhani ndio tunarudi kule, demokrasia ni kuiba bila kufatiliana[emoji28]
Watu wanawaza nafasi za uongozi zaidi ya wanavyofikiria maendeleo ya wananchi. Leo mtu akiteuliwa wanasema "kaula", hawawazi the burden behind hiyo nafasi na jinsi gani apambane ili kuleta maendeleo.
 
Hata Kama atakuwa bunge lililopo humo halitamfaa! Ilifaa apate bunge lenye mamlaka,bunge lisiloogopa,bunge ambalo litapiga makofi kwa vitu vya msingi tupu,bunge lenye uthubutu dira na lenye nia ya dhati ya kuleta maendeleo na kutetea panapostahili kutetewa,bunge ambalo waziri akisimama leo na kusema serikali imepeleka mradi wa maji sehemu fulani,basi baada ya muda wa kamirisho la mradi arudi aseme kuwa serikali imekamilisha na sio vinginevyo!.
 
Watu wanawaza nafasi za uongozi zaidi ya wanavyofikiria maendeleo ya wananchi. Leo mtu akiteuliwa wanasema "kaula", hawawazi the burden behind hiyo nafasi na jinsi gani apambane ili kuleta maendeleo.
Kama hamna wa kukuwajibisha si lazma uwe umeula!😅

Kwa magu vyeo vilikuwa sio vya kudumu ila kwa bi mkubwa vyeo ni vya kudumu😎 hutaskia mtu katumbuliwa😅
 
Kufuatia kujiuzulu kwa Spika wa Bunge, Job Ndugai leo hii, kiti cha Spika kipo wazi. Je nani anafaa kuwa Spika mpya wa Bunge letu?
Mhe. Pandu Kificho kutoka kule Zanzibar anatosha sana, miaka 60 spika anatoka tanganyika tu kwenye serikali tuliyokubaliana kuungana nchi 2
 
Back
Top Bottom