Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo Zungu sitaki hata kumuona hapo ntasali usiku na mchana ili asifikie hapo anakera hata kumtazama tu!
Kama kuna kumchukia mtu basi nafikiri huyo mjamaa ninamchukia mno.nambar 1
Tozo boy[emoji28]Huyo Zungu sitaki hata kumuona hapo ntasali usiku na mchana ili asifikie hapo anakera hata kumtazama tu!
Kama kuna kumchukia mtu basi nafikiri huyo mjamaa ninamchukia mno.nambar 1
Tozo boy ni mkuu.Ndugu!
Watu wanawaza nafasi za uongozi zaidi ya wanavyofikiria maendeleo ya wananchi. Leo mtu akiteuliwa wanasema "kaula", hawawazi the burden behind hiyo nafasi na jinsi gani apambane ili kuleta maendeleo.Hii serikali ni ya kutengeneza ulaji tu! Hamna kingine yani maswala ya kuelekeza nguvu kwenye maendeleo ni 5% huku 95% ni wizi na kujilimbikizia Mali!
Nadhani ndio tunarudi kule, demokrasia ni kuiba bila kufatiliana[emoji28]
Sio mark ni "make"🥱Nilifikiri ni confirmed kumbe mark my words.
Kama hamna wa kukuwajibisha si lazma uwe umeula!😅Watu wanawaza nafasi za uongozi zaidi ya wanavyofikiria maendeleo ya wananchi. Leo mtu akiteuliwa wanasema "kaula", hawawazi the burden behind hiyo nafasi na jinsi gani apambane ili kuleta maendeleo.
Sleepeng with a snake in the roomNa Lukuvi ni waziri mkuu
.nnMake my words, mheshimiwa ni speaker ajaye
Hapana dada ni 'make' my Words.Nilifikiri ni confirmed kumbe mark my words.
😂😂😂😂Hapana dada ni 'make' my Words.
Mhe. Pandu Kificho kutoka kule Zanzibar anatosha sana, miaka 60 spika anatoka tanganyika tu kwenye serikali tuliyokubaliana kuungana nchi 2Kufuatia kujiuzulu kwa Spika wa Bunge, Job Ndugai leo hii, kiti cha Spika kipo wazi. Je nani anafaa kuwa Spika mpya wa Bunge letu?