Upigaji alianza mwaka gani mpaka mwaka gani?KUZALIWA
- Mbobezi wa Sheria Barani Afrika na "Alumni" wa Chuo kikuu bora Duniani- Havard cha Nchini Marekani Mh.Andrew John Chenge alizaliwa mwaka 1947 nchini Tanzania (Tanganyika wakati huo)...
Kwamba JPM aliona Tulia awe mchepuko wake? Kwamba JPM hakuona wanawake wazuri wa kutafuna hadi amfanye Tulia mchepuko wake? Are you for real?
Kwamba JPM aliona Tulia awe mchepuko wake? Kwamba JPM hakuona wanawake wazuri wa kutafuna hadi amfanye Tulia mchepuko wake? Are you for real?
Wampe tu Mtemi Chenge.Kufuatia kujiuzulu kwa Spika wa Bunge, Job Ndugai leo hii, kiti cha Spika kipo wazi. Je nani anafaa kuwa Spika mpya wa Bunge letu?
Huyo mama ukiwa naye chumbani unaweza geuka kuwa anithi kabisa. Huyo mume wake nafikiri alifuata mteremuko wa Maisha kutoka kwenye familia walio nazo kiasi.Kwamba JPM aliona Tulia awe mchepuko wake? Kwamba JPM hakuona wanawake wazuri wa kutafuna hadi amfanye Tulia mchepuko wake? Are you for real?
Kufuatia kujiuzulu kwa Spika wa Bunge, Job Ndugai leo hii, kiti cha Spika kipo wazi. Je nani anafaa kuwa Spika mpya wa Bunge letu?
Kweli mkuu, Ila JPM alijua kuchagua vitu vya ukweli..kwa huyo Tulia nakataa..beauty is the eye of the beholder
Chenge anafaa sn kwa wakati huuKufuatia kujiuzulu kwa Spika wa Bunge, Job Ndugai leo hii, kiti cha Spika kipo wazi. Je nani anafaa kuwa Spika mpya wa Bunge letu?
Mfumo mbovuKama ni hivyo angekuwa na chama chake lakini yupo huko ccm hana jipya, alafu si ni huyo masele alipiga magoti mbele ya ndugai? Leo unamsifu? Mmh
ChengeKufuatia kujiuzulu kwa Spika wa Bunge, Job Ndugai leo hii, kiti cha Spika kipo wazi. Je nani anafaa kuwa Spika mpya wa Bunge letu?
Mods mmeunganisha uzi wangu na wa huyu Escort?Kufuatia kujiuzulu kwa Spika wa Bunge, Job Ndugai leo hii, kiti cha Spika kipo wazi. Je nani anafaa kuwa Spika mpya wa Bunge letu?
Mmenidhuluma katika hiliKufuatia kujiuzulu kwa Spika wa Bunge, Job Ndugai leo hii, kiti cha Spika kipo wazi. Je nani anafaa kuwa Spika mpya wa Bunge letu?
eti "MATAKO YA SUFURIA HAYAOGOPI MOTO" πππ duh!Mkuu yaani uzi unakutoa roho, je ningechukua figo yako?
Chaguo la system