Nani anafaa kuwa Spika mpya wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

Nani anafaa kuwa Spika mpya wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

KUZALIWA

- Mbobezi wa Sheria Barani Afrika na "Alumni" wa Chuo kikuu bora Duniani- Havard cha Nchini Marekani Mh.Andrew John Chenge alizaliwa mwaka 1947 nchini Tanzania (Tanganyika wakati huo)...
Upigaji alianza mwaka gani mpaka mwaka gani?
 
Kwamba JPM aliona Tulia awe mchepuko wake? Kwamba JPM hakuona wanawake wazuri wa kutafuna hadi amfanye Tulia mchepuko wake? Are you for real?
Kwamba JPM aliona Tulia awe mchepuko wake? Kwamba JPM hakuona wanawake wazuri wa kutafuna hadi amfanye Tulia mchepuko wake? Are you for real?

beauty is in the eye of the beholder
 
Kwamba JPM aliona Tulia awe mchepuko wake? Kwamba JPM hakuona wanawake wazuri wa kutafuna hadi amfanye Tulia mchepuko wake? Are you for real?
Huyo mama ukiwa naye chumbani unaweza geuka kuwa anithi kabisa. Huyo mume wake nafikiri alifuata mteremuko wa Maisha kutoka kwenye familia walio nazo kiasi.
 
Steven masele ni msomi mwenye misimamo thabiti anayeongozwa na mitizamo na misingi ya kisheria na kikanuni ndicho hicho kilimfanya apishane na Mwendazake.

Masele siyo mtu wa kupokea maagizo na maelekezo ni mtu wa reasoning and crirical analysis....namkumbuka sana nilipokuwa naye darasa moja ALEVEL na chuo kikuu hakuwa ni mtu wa kuongozwa na hisia katika mambo yake....

Ni mtu anayejiridhisha kwanza ndipo aje na maamuzi.

Nadhani TULIA ACKSON atamfaa Sana HANGAYA hata hivyo sioni akipita kuwa spika kwa sababu ya kile kinachokiona serikalini De-magufulization system hivyo hana nafasi.

Nafikiri ZUNGU ndiye spika wa HANGAYA.

Ni mimi manengelo bin Ruhumbika nipo njiani kwenda ZANZIBAR kazi maalumu.
 
Kama ni hivyo angekuwa na chama chake lakini yupo huko ccm hana jipya, alafu si ni huyo masele alipiga magoti mbele ya ndugai? Leo unamsifu? Mmh
 
Kufuatia kujiuzulu kwa Spika wa Bunge, Job Ndugai leo hii, kiti cha Spika kipo wazi. Je nani anafaa kuwa Spika mpya wa Bunge letu?
Mods mmeunganisha uzi wangu na wa huyu Escort?

Nipe sababu tafadhali maana wala haufanani kabisa na wa escort
 
Chaguo la system

True Chenge ni chaguo la system , Mama samia fanya maamuzi mwenyewe wasije kukufanyia hujuma

Na Pia Husikubali kupewa mtu utakaemwamkia shikamoo mh speaker
 
Back
Top Bottom