Nani anafaa kuwa Spika mpya wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

Nani anafaa kuwa Spika mpya wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

Ndivyo ilivyo hadi sasa na haya majina mawili ndio yanaipasua kichwa Kamati kuu ya CCM.

Kwa pamoja tuiombee CCM jamani bila kujali itikadi zetu.

Mungu wa mbinguni awabariki sana!

Lakini tokea nyuma huko, utaratibu wa CCM umekuwa ni kumkaimisha naibu spika nafasi ya Uspika, sioni hilo likibadilika mwaka huu...
 
Ndivyo ilivyo hadi sasa na haya majina mawili ndio yanaipasua kichwa Kamati kuu ya CCM.

Kwa pamoja tuiombee CCM jamani bila kujali itikadi zetu.

Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Naiona CCM OG ikirejea kwenye muhimili uliomshinda Ayub!
 
Hiyo kamati kuu wakimpitisha Tulia itadhihirisha ilivyo muhimu kupata katiba mpya.
Tulia ni batili kwa sababu haja jiuzulu unaibu spika. Hivyo hastahili kujadiliwa kwenye nafasi ya uspika.
Punguza ujuha na ww mbona mnakuwa kama mipumbavu.....huko ni kwenye chama chao sio bungeni....
 
Back
Top Bottom