Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
sijuiChaguo la system
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sijuiChaguo la system
Wote tunaiombea CCM! Wengine wanaiombea iendelee kutawala na wengine wanaiombea IFENdivyo ilivyo hadi sasa na haya majina mawili ndio yanaipasua kichwa Kamati kuu ya CCM.
Kwa pamoja tuiombee CCM jamani bila kujali itikadi zetu.
Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Hivi inawezekana kumwombea mtesi wako nguvu za kikutesa zaidi🤔?Ndivyo ilivyo hadi sasa na haya majina mawili ndio yanaipasua kichwa Kamati kuu ya CCM.
Kwa pamoja tuiombee CCM jamani bila kujali itikadi zetu.
Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Wapendeni adui zenu!Hivi inawezekana kumwombea mtesi wako nduvu za kikutesa zaidi🤔?
Kanda pendwa ina nafasi kubwa!Ni wazi mwenyekiti wako atalipitisha jina la cheusi mapema sana.
Ajiuzulu nini?Tulia ajiuzulu kwanza
Embu tulieni kwanza, Mwacheni Tulia atulie spikani.Tulia ajiuzulu kwanza
John jiandae mwisho wa wiki hii mama enu anaenda mgombani kuvishwa ngozi ya chui iliyokua imefanyiwa mazindiko kwa ajili ya kumvalisha mwendazake.Kanda pendwa ina nafasi kubwa!
Ndivyo ilivyo hadi sasa na haya majina mawili ndio yanaipasua kichwa Kamati kuu ya CCM.
Kwa pamoja tuiombee CCM jamani bila kujali itikadi zetu.
Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Hao wa migombani jana walimfanyia " kitu fulani" shahidi pale mahakama akajikuta kichwa kimekuwa kizito kama fenesi ghafla!John jiandae mwisho wa wiki hii mama enu anaenda mgombani kuvishwa ngozi ya chui iliyokua imefanyiwa mazindiko kwa ajili ya kumvalisha mwendazake.
Naiona CCM OG ikirejea kwenye muhimili uliomshinda Ayub!Ndivyo ilivyo hadi sasa na haya majina mawili ndio yanaipasua kichwa Kamati kuu ya CCM.
Kwa pamoja tuiombee CCM jamani bila kujali itikadi zetu.
Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Sasa anatak unaibu na uspika? Kwani katiba inasemaje? 😳Embu tulieni kwanza, Mwacheni Tulia atulie spikani.
Hahahaaaa....... hahahaaaa.......!Naiona CCM OG ikirejea kwenye muhimili uliomshinda Ayub!
Kwa hiyo ana uchu wa madaraka?? 😳Ajiuzulu nini?
Kwani wagombea wengine wote wamejiuzulu nafasi zao!
Kwahili hakuna utamaduni wa ccm, bali yule anayemtaka mama kimkakati ndio atateuliewa kushika hiyo nafasi.Lakini tokea nyuma huko, utaratibu wa CCM umekuwa ni kumkaimisha naibu spika nafasi ya Uspika, sioni hilo likibadilika mwaka huu...
Punguza ujuha na ww mbona mnakuwa kama mipumbavu.....huko ni kwenye chama chao sio bungeni....Hiyo kamati kuu wakimpitisha Tulia itadhihirisha ilivyo muhimu kupata katiba mpya.
Tulia ni batili kwa sababu haja jiuzulu unaibu spika. Hivyo hastahili kujadiliwa kwenye nafasi ya uspika.