Nani anafaa kuwa Spika mpya wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

Nani anafaa kuwa Spika mpya wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

Lakini tokea nyuma huko, utaratibu wa CCM umekuwa ni kumkaimisha naibu spika nafasi ya Uspika, sioni hilo likibadilika mwaka huu...

Utaratibu hukiukwa zamani tulikasimishwa utaratibu wa rais lazima awe ashakua foreign affair minister, ila ikasanda 2015, urais zamu kwa zamu ila ikasanda, ikaingia kwenye uspika gender naona na kwa zamu naona pia inaenda kusanda. NS alikua anakaimishwa katika mlolongo wa kawaida ila hii hati ya kidharura.
 
Kamati kuu ikimpitisha Betina itajihithirisha kwamba Ni team mwendakuzimu hivyo nayo inahitaji kuwa overhauled.
Betina Ni chaguo la aliyeko kuzimu na sababu za kumchunuku anazijua aliyeko kuzimu hapana mwingine mwenye pumzi anayezijua.

Masele is the right guy..
Vote for masele
 
Tanzania hiyoooo

Hapo namuona kuna mtu atapigwa KO moja mbaya

Hatoamini

Ova
 
Watakaompendekeza na kumchagua fisadi Chenge ni mafisadi wenzie

@ThesunkcostFallacy!

Chenge ni kweli kabisa!

Huyu anaitwa Andrew Chenge.

Mtoa habari aache ukupe, huyu a.k.a mzee wa vijisenti.
Anazo kashfa kibao huko nyuma na hana sifa tena kuingia bungeni kama Spika.

Bado ile ajali aliyoisababisha mke wake kwa kuwagonga na kupelekea vifo vya wale wadada wawili kutoka mwanza.

Akawagonga na Toyota double cabin namba T 512 ACE Pichani hapo chini.

Ambayo pia ilikuwa haina hata bima ya kutembelea barabarani.

Aliivaa Bajaj waliyokuwa wakiitumia kukimbia eneo la tukio na kuwafagilia mbali.

Akiwatuhumu kuwafumania na huyo mtemi wako.

Kisha huyo mtemi wako akatumia utemi kumuondoa mkewe eneo la tukio na kuinunua kesi yeye.

Kutokana na nguvu ya vijisenti.

Kilichofuatia ni kufutwa au kupotezewa kwa kesi kiaina mpaka wa leo.

Huku huyu ntemi wako akijitolea kugharamia gharama za mazishi.

Halafu mtu kama huyu, na rekodi yake ya tuhuma za ufisadi aliyoshindwa kujisafisha mpaka leo.

Huku akijitapa hadharani kwamba yeye ni joka la makengeza.

Ndio mnaetaka bila aibu eti awe Spika wa Bunge!

#Tuwakataewahuni.
Screenshot_20220113-121528_Chrome.jpg
 
@ThesunkcostFallacy!

Chenge ni kweli kabisa!

Huyu anaitwa Andrew Chenge.

Mtoa habari aache ukupe, huyu a.k.a mzee wa vijisenti.
Anazo kashfa kibao huko nyuma na hana sifa tena kuingia bungeni kama Spika.

Bado ile ajali aliyoisababisha mke wake kwa kuwagonga na kupelekea vifo vya wale wadada wawili kutoka mwanza.

Akawagonga na Toyota double cabin ambayo ilikuwa haina hata bima ya kutembelea barabarani.Aliivaa Bajaj waliyokuwa wakiitumia kukimbia eneo la tukio na kuwafagilia mbali.

Akiwatuhumu kuwafumania na huyo mtemi wako.

Kisha huyo mtemi wako akatumia utemi kumuondoa mkewe eneo la tukio na kuinunua kesi yeye

Kilichofuatia ni kufutwa au kupotezewa kwa kesi kiaina huku huyu ntemi wako akijitolea kugharamia gharama za mazishi.

Halafu mtu kama huyu, na rekodi yake ya tuhuma za ufisadi aliyoshindwa kujisafisha mpaka leo.

Huku akijitapa hadharani kwamba yeye ni joka la makengeza.

Ndio mnaetaka bila aibu eti awe Spika wa Bunge!

#Tuwakataewahuni.View attachment 2085776
Mtu ambae hana usafi wa maadili anaanzaje kuwa Spika? Huu utakuwa ninwehu na rasmi mnaoitwa wazalendo na wanyonge mtakuwa mumeoneshwa wazi kabisa kwamba hamna chenu sasa mtaamua kusuka au kinyoa.
 
Ndivyo ilivyo hadi sasa na haya majina mawili ndio yanaipasua kichwa Kamati Kuu ya CCM.

Kwa pamoja tuiombee CCM jamani bila kujali itikadi zetu.

Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Tulia anapaswa kutulia tu ,kwani yeye ndiye aliye kuwa mshauri mkuu wa Ndugai hivyo Sisi tuna conclude kwamba washindwa wote kazi utofauti mwingine kuto tangaza tu .

Na hasa tukirejea chini ya uongozi wao Bunge kumekuwa dhaifu sana na kupitisha sheria nyingi za kuumiza wananchi.

IMG-20220113-WA0025.jpg
 
Mtu ambae hana usafi wa maadili anaanzaje kuwa Spika? Huu utakuwa ninwehu na rasmi mnaoitwa wazalendo na wanyonge mtakuwa mumeoneshwa wazi kabisa kwamba hamna chenu sasa mtaamua kusuka au kinyoa.
Uko sahihi kabisa mkuu @Thesunkcostfallacy.

CCM wanatuona kama mazezeta nchi nzima.

Ni kama vile Paka ameondoka sasa panya wanafurahia kudonoa tena mkate kwenye shelf ya Bakery!
 
Japo Bunge lenyewe ni syndicate ya wahuni fulani, lakini lazima mtu awe na uwendawazimu wa aina fulani kufikiria Tulia awe spika.

Tulia ameeleza wazi kuwa bunge halina maana yoyote, haliwezi kubadili chochote, ushauri wake, serikali au Rais hawalazimiki kuufuta, na kwamba Rais ni kila kitu, sasa anatafuta hiyo nafasi ya spika ili awe kiongozi wa kitu ambacho hakina maana wala impact yoyote kwaajili ya nini? Au ni tamaa tu ya hayo marupurupu?
 
Back
Top Bottom