balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
CCM ni mashetani,tuwaombee waangamie kwenye kipindi kirefuuuuWote tunaiombea CCM..!! Wengine wanaiombea iendelee kutawala na wengine wanaiombea IFE
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CCM ni mashetani,tuwaombee waangamie kwenye kipindi kirefuuuuWote tunaiombea CCM..!! Wengine wanaiombea iendelee kutawala na wengine wanaiombea IFE
Hata hapa Ufipa unataka tuiombee ccm ife?Ndivyo ilivyo hadi sasa na haya majina mawili ndio yanaipasua kichwa Kamati Kuu ya CCM.
Kwa pamoja tuiombee CCM jamani bila kujali itikadi zetu.
Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Mswahili ataweza kula ndizi?Sio pemba bali kwa mangi.
Wakimpitisha Tulia watakuwa ni wehuHiyo kamati kuu wakimpitisha Tulia itadhihirisha ilivyo muhimu kupata katiba mpya.
Tulia ni batili kwa sababu haja jiuzulu unaibu spika. Hivyo hastahili kujadiliwa kwenye nafasi ya uspika.
ccm ni genge lisilohitaji maombi!Ndivyo ilivyo hadi sasa na haya majina mawili ndio yanaipasua kichwa Kamati Kuu ya CCM.
Kwa pamoja tuiombee CCM jamani bila kujali itikadi zetu.
Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Vipi idadi yao inatosha kwenye Kamati na Bungeni?Kanda pendwa ina nafasi kubwa!
Huwezi ukaombea taasisi. Wanaombewa watu......!!!Ndivyo ilivyo hadi sasa na haya majina mawili ndio yanaipasua kichwa Kamati Kuu ya CCM.
Kwa pamoja tuiombee CCM jamani bila kujali itikadi zetu.
Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Kwamba Tulia tayariNi wazi mwenyekiti wako atalipitisha jina la cheusi mapema sana.
CHEUSI MANGALANi wazi mwenyekiti wako atalipitisha jina la cheusi mapema sana.
Hapo spika ni mtemi vijisenti, cheusi mangala atatulia kwenye u naibu mpaka 2025.Ndivyo ilivyo hadi sasa na haya majina mawili ndio yanaipasua kichwa Kamati Kuu ya CCM.
Kwa pamoja tuiombee CCM jamani bila kujali itikadi zetu.
Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Mmmh twafa hamna aliye Bora hapoNdivyo ilivyo hadi sasa na haya majina mawili ndio yanaipasua kichwa Kamati Kuu ya CCM.
Kwa pamoja tuiombee CCM jamani bila kujali itikadi zetu.
Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Alishamuwin mwenyekiti wake since alivyotangaza kuwa rais ni mkuu wa mihimili yote.Kwamba Tulia tayari
Sio kwamba anahitajika kiivyo bali yeye Chenge ni heri kuliko wengine.Chenge ni fisadi. Unaiba 1.5 bilion ya serikali kwa mikataba ya hovyo wakati wa ununuzi wa Rada halafu unasema ni vijisenti?
Leo hii akikaa bungeni so ataiba 1 Trilioni , ataitaje hii sasa?
Chenge ametumika kipindi cha nyerere, mwinnyi, mkapa, na jk. Experience yake ni old school kwa sasa.
Taifa hili kwa sasa linahitaji speaker kijana wa umri wa kati na msomi ambaye ataendana na mabadiliko ya dunia/ global changes na kisha ku-relate na hali halisi ya nchi yetu in making decision katika bunge letu.
Huyo mzee na hiyo experience ya miaka 90's imepitwa na wakati. Watanzania tunataka kusonga mbele na kurudishwa nyuma na mauzoefu yaliyopitwa na wakati eti kisa masters ya havard ya mwaka 1975 wakati leo ni 2022 = miaka 48 imeshapita. Hii ni aibuu kubwa.
Chenge apumzike akalee wajukuu wake na vitukuuu
Tulia ndio spika ajayeNdivyo ilivyo hadi sasa na haya majina mawili ndio yanaipasua kichwa Kamati Kuu ya CCM.
Kwa pamoja tuiombee CCM jamani bila kujali itikadi zetu.
Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Tumwombee Chenge, CCM na Tulia go to hellNdivyo ilivyo hadi sasa na haya majina mawili ndio yanaipasua kichwa Kamati Kuu ya CCM.
Kwa pamoja tuiombee CCM jamani bila kujali itikadi zetu.
Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Zote takataka, wezi wa fedha Jersey na wezi wa kura Mbeya. Takataka tupuNdivyo ilivyo hadi sasa na haya majina mawili ndio yanaipasua kichwa Kamati Kuu ya CCM.
Kwa pamoja tuiombee CCM jamani bila kujali itikadi zetu.
Mungu wa mbinguni awabariki sana!