Nani anafaa kuwa Spika mpya wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

Namba 6 na 7 ni mtu na mdogo wake? Hata hivyo namba 7 ni Waziri kwa hiyo hawezi kugombea nafasi hiyo.
 
Kidogo tulia
 
Anahitajika mtu asieyumbushwa na mwenye kusimamia anachokiamini ili bunge liweze kuisimamia GOV ipasavyo.
 
Jenister mhagama si ana cheo k ingine yule nadhani ofisi ya waziri mkuu, maana shughuli nyingi za kitaifa huwa yuko mbele kufuatilia maandalizi
 
Mwakyembe umempendelea sana. Mara Mbili yote hiyo ya nini?
 
Mzee wa vijisent munamuwazia uspika tena?
 
Mtemi Chenge!!
 
Umeweka orodha ya viongizi waliokosea umeshindwa kuwataja viongozi wazuri na vijana ambao hawajakosea
 
Tulia ni sukuma gang pure! Hafai kabisa na ninamwombea ajiuzuru unaibu spika Ili aruhusiwe kugombea uspika halafu ccm wampige chini huko kamati kuu akirudi anakuta unaibu spika wamejaza mtu ,hapo sukuma gang wanazidi kupukutika ,na tunaamza na kamati za BUNGE Zina wenyeviti wa sukuma gang watupu huko.
 
1. Steven masele.
2. Musa hasan zungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…