Nani anafaa kuwa Spika mpya wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

Nani anafaa kuwa Spika mpya wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

Mwaka wa vurugu na fujo Kuna Nini wananchi wenzangu?
... hiyo inaitwa struggle for power among antagonistic groups. Wameshakula wamevimbiwa sasa wanawaza madaraka na ukuu; hakuna kingine. Jan. 2022 unawaza 2025? Kama sio wazimu nini?
 
Nchi ina viongozi wa hovyo sana..

Unalosema linaweza kutokea pia,, nchi hii haieleweki kabisa siku hizi..

Ndugai amejiuzulu bila kufanya kosa lolote,,,coz alichosema wala sikuona kama ni kosa
 
Nchi ina viongozi wa hovyo sana..

Unalosema linaweza kutokea pia,, nchi hii haieleweki kabisa siku hizi..

Ndugai amejiuzulu bila kufanya kosa lolote,,,coz alichosema wala sikuona kama ni kosa
Kwa hiyo na wewe kwa akili zako za hovyo unaona inawezekana
 
Ndugu wana Jamvi, Najaribu kuwaza kiundani kuangalia nani atavaa koti la mzee wetu wa Galilaya (Mh. Job Ndugai) na likamtosha kwenye kiti cha uspika, Tusikie maoni yako kwa hawa hapa chini, pia tuongezee unayeona anafaa na hajawekwa kwenye list.



1. Tulia Ackson

2. Andrew John Chenge

3. Abdurahman Omari Kinana

4. Mussa Azan Zungu

5. Hamad Rashid Mohamed

6. Dr Harrison Mwakyembe

7. Jenister Joachim Mhagama

8. David Mwakiposa Kihenzile

9. Stephen Masatu Wassira

10. Dr Harrison Mwakyembe
Mama anataka vijana wewe unawaleta wazee ambao hata hawafikiriwi hao Wana makandokando mengi na Wana timu zao,
 
Job Ndugai atachukua fomu ya Uspika na atachaguliwa kwa Mara nyingine kuwa Spika wa JMT

Unaelewa maana ya kujiuzulu?. Ujiuzulu Halafu uchukue tena fomu ya uspika kwa manufaa ya Nani?. Pamoja na kukubaliana na hoja ya Ndugai lakini Ndugai was the worst speaker of all time. Speaker mzima unasema Jambo leo kesho unakanusha sio kweli watu walininukuu vibaya. Aondoke moja kwa moja hana maana.
 
Back
Top Bottom