James Martin
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 1,206
- 1,509
Kwa chama gani?!Ndugai for presidency 2025!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa chama gani?!Ndugai for presidency 2025!
Mussa Azan Zungu ni mtu sahihi kabisa kujaza nafasi ya spika wa Jamuhuri ya Muungano ya Tanzania.
Uzoefu, kukubalika kwa wabunge na busara zake za kuongoza vikao vya bunge vinamfanya awe ni chaguo la wazi kabisa.
View attachment 2073149
Pichani Zungu akiongoza kikao cha bunge kama mwenyekiti.
Ni kweli kabisa mkuu. Hata Ndugai mwenyewe aliwahi kuwaasa mawaziri punde baada ya kula viapo vyao, alisema, "mama huwa hatabiriki."Chaguo la spika ni chaguo la Mwenyekiti wa CCM, tutaenda mbele tutarudi nyuma kama Mwenyekiti wa CCM hatoridhia basi kinachofanywa ni ramli tu.
Nilichogundua mpaka sasa kwa Mwenyekiti wa CCM anataka sura mpya lakini zenye uwezo na uthubutu hivyo tusishangae spika akawa ni mtu tofauti na wanaotajwa tajwa.
Jina la katibu mkuu wa CCM Ndg.Chongolo halikuwahi kufikiriwa hata kidogo lakini ndio akawa hivyo tusishangae hata sasa ikawa hivyo.
Ndio kiongozi anataka kuwa hivyo, usitabirike. Teuzi zako asijue mtu zaidi yakoNi kweli kabisa mkuu. Hata Ndugai mwenyewe aliwahi kuwaasa mawaziri punde baada ya kula viapo vyao, alisema, "mama huwa hatabiriki."
Tulia[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]