Uchaguzi 2020 Nani anafahamu wasifu wa Amani Golugwa meneja kampeni wa Tundu A. Lissu?

ASANTE WAKUU KWA MAONI YENU; INGAWA BADO HATUJAPATA MAELEZO YA KURIDHISHA YA WASIFU WA MHE.AMANI GOLUGWA !

Wengine wanasema ndiye silaha mojawapo ya mhe.Godbless Lema kupata ushindi jimbo la Arusha.
 

Attachments

  • images.jpeg
    8.3 KB · Views: 3
Mbona mmeshindwa kumtafutia kura Lissu kama kweli mko smart kiivo.Lissu atapata kura kidogo sana, Lipumba anaonekana ndiyo atachuana na magufu li japo kwa mbali.Chadema mnashida yaani hadi Lipumba kawazidi.
Hakika.
 
ha ha haaaaa. kwa kichekesho kingine kama hiki, tupige namba gani? Eti Chadema imeimarika nyanda za juu kusini. Ha ha ha ha haaaaaas
 
"SERIKALI YACHADEMA ITATUMIA WATAALMU WAKE KUAHAKIKISHA MNAKWENDA KUCHUNGA KWENYE HIFADHI" 😂🤣😂🤣

Tundu Lissu (Mzee Wa Faragha)
Wajichekesha tU kama Binti bikra na kwa akili zako matope Huwezi kumwelewa Lissu,

Now, kama Jinga lenu limefyeka pori la Selous kujenga bwawa ambalo halitakamilika Ujenzi wake kwanini tusipunguze mipaka ya hifadhi kutoa fursa zaidi kwa Wananchi kupata maeneo ya kuendesha Shughuli za Kilimo na ufugaji?
 
Wakati vijana wapo kwenye operation Chadema ni msingi; kuna watu walidhani kua Chama kimebanwa hivyo amna mikakati inayoendeleo. Kuna watu walikua nyuma ya viongozi waliteuliwa kueneza Chadema ni msingi bila wao kujua japo uongozi wa juu pia kwa baadhi yao hawakujua hao watu.

Leo watu wanajiuliza wanachi wanaoudhuria kwenye mikutano ya Chadema wanapata taarifa kutoka wapi?

Mimi itoshe kusema kua nimeshiriki nyuma ya watu waliokua wanaeneza Chadema ni msingi kwa maeneo ya Kondoa...Serengeti...Sinyanga bila wao kujua. Japo taarifa zetu pia haifiki kwa walio wengi.

Chadema haitakuja kufa kwasababu ilishakua chama kikubwa tayari.
 
Mtu yoyote ukimeinua ni rahisi sana kuona udhaifu wake hivyo kushuka thamani.
Abaki hapohapo alipopawezea zaidi

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Asante kwa kazi nzuri na kamwe usirudi nyuma

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Nimefuatilia thread hii mwanzo mpaka mwisho sijaona aliyejibu swali la msingi kwa ufasaha na tuliotaka kujua CV kamili ya huyu bwana tumeachwa mbugani lakini sio mbaya akija yeye mwenyewe akatufafanulia

Binafsi kule twitter kwenye page yake nilikuta kufuri kubwa

Lakini baada ya kuomba mara moja akanipa funguo...Tafadhali tunaomba CV yako hivi sasa kwani hatutaki tuipate ikiwa imechakachuliwa kama zile za makaburini
 
Tunaomba CV ya chakubanga pia bila kusahau atuambie ilikuaje akasaliti mchakato wa katiba ya wananchi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…