Uchaguzi 2020 Nani anafahamu wasifu wa Amani Golugwa meneja kampeni wa Tundu A. Lissu?

Angalia kampeni za Lissu zilivyo well organized. Angalia moves za Lissu zilivo well organized. Utapata jibu
Baada ya Kinana huyu Golungwa anafatia kwa kuwa Kampeni Manager ambaye yuko well organized na cordination ya maana. Ni Jembe tumeliona CCM na tunamtamani..... Sijui Bashiru na Polepole walikuwa wapi kungangana na kununua wakina Mashinji na kuacha well talented persons like this man called Golungwa
 
Africa is fighting independence for the second time everywhere. This indigenous colonialists like maccm represent the worst form of colonialism, because they can camouflage as if they have the best interest of people.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namfahamu, ana asiri ya Singida. Ana postgraduate diploma ya mambo ya finance. Alikuwa miongoni mwa wanafunzi bora uahasibu Arusha akiwa anafanya advance diploma. Maisha yake yote ameishi Arusha.

Siyo muongeaji kiasili ila ni mtu mwenye akili nyingi sana. Yeye ndiyo amekuwa mpangaji mkubwa na kiongozi muendesha wa Chadema kuanzia Arusha na hata kaskazini nzima. Amefanya kazi kubwa. LEMA mwenyewe amejiunga na CHADEMA akitokea NCCR akipokelewa na Golugwa. Golugwa siyo mtu mwenye kuweza kununuliwa wala kuwa na misimamo ya kuyumbayumba. Hivyo siyo rahisi kuachana na Chadema.

Kabla ya kuachana na ajira alikuwa anafanya na shirika moja liitwalo EANASO pale Arusha kama Chief Accountant wakati huo huo alifanya kama katibu wa Chadema Mkoa Arusha pia, kama katibu wa kanisa moja la TAG lililopo Mshono kule Arusha. Kazi zote hizo alizifaya kiufasaha. Asubhuhi kibaruani, muda wa Lunchi ofisini kwa chadema na jioni kanisani. Very smart and busy guy.

Ni mzuri sana kwenye mipango ya kiharakati. Siyo mtu mwenye kupenda sana madaraka wala kujionyesha. Hivyo basi Golugwa hajawahi kugombea ubunge, hajawahi kuweka ndani katika harakati zote za Chadema na wala kushitakiwa kisiasa. Hii ndiyo driving engineer ya chadema kwa sasa. Naweza kusema huyu ni mtu mwenye mshahsuri mkuu wa wakina LEMA.

Taifa lilipaswa kuwa na mikakati ya kuwafahamu watu kama hawa na kuwatumia kwa maendeleo ya taifa bila kujali itikadi zao.
 
Pichani za mhe. Amani Golugwa aliye Kampeni Meneja wa Tundu Lissu. Siku za Karibuni alipata mafunzo Kwa ufadhili wa nchi Za Europian Union kuhusu masuala ya kisiasa.

Kwenye uchaguzi wa Malawi alishiriki kama mwangalizi chini ya European Union. Yupo very trained kwenye issue hizo za kisasa.

Ni Mzanzibar hapo awali aliwahi kuwa katibu Mkuu wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini.

Nani anayemjua zaidi sifa zake kwa maana ya taaluma au mafunzo yoyote aliyonayo. Namuona Kama ana kitu cha ziada ndio maana naomba kujifunza.

Ole Mushi
0712702602

View attachment 1594299View attachment 1594300View attachment 1594301View attachment 1594302
Kwa kuhoji huku, naomba aongezewe ulinzi...

Sent from my OPPO R11s using JamiiForums mobile app
 
Hilo ndio swali la msingi
Tunaamini sheria, kanuni na taratibu zitazingatiwa kama wadau wa uchaguzi mkuu wanavyotueleza.
Namfahamu, ni mzaliwa wa Singida. Ana postgraduate diploma ya mambo ya finance. Alikuwa miongoni mwa wanafunzi bora uahasibu Arusha akiwa anafanya advance diploma.

Siyo muongeaji kiasili ila ni mtu mwenye akili nyingi sana. Yeye ndiyo amekuwa mpangaji mkubwa na kiongozi muendesha wa Chadema kuanzia Arusha na hata kaskazini nzima. Amefanya kazi kubwa. LEMA mwenyewe amejiunga na CHADEMA akitokea NCCR akipokelewa na Golugwa. Golugwa siyo mtu mwenye kuweza kununuliwa wala kuwa na msimamo ya kuyumbiwa yumbiwa. Hivyo siyo rahisi kuachana na Chadema.

Kabla ya kuachana na ajira alikuwa anafanya na shirika moja liitwalo EANASO pale Arusha kama Chief Accountant wakati huo huo alifanya kama katibu wa Chadema Mkoa Arusha pia, kama katibu wa kanisa moja la TAG lililopo Mshono kule Arusha. Kazi zote hizo alizifaya kiufasaha. Asubhuhi kibaruani, muda wa Lunchi ofisini kwa chadema na jioni kanisani. Very smart and busy guy.

Ni mzuri sana kwenye mipango ya kiharakati. Siyo mtu mwenye kupenda sana madaraka wala kujionyesha. Hivyo basi Golugwa hajawahi kugombea ubunge, hajawahi kuweka ndani katika harakati zote za Chadema na wala kushitakiwa kisiasa. Hii ndiyo driving engineer ya chadema kwa sasa. Naweza kusema huyu ni mtu mwenye mshahsuri mkuu wa wakina LEMA.

Taifa lilipaswa kuwa na mikakati ya kuwafahamu watu kama hawa na kuwatumia kwa maendeleo ya taifa bila kujali itikadi zao.
ASANTE SANA KWA MAELEZO YAKO MKUU LAKINI BADO TUNA KIU YA WASIFU WAKE HUYU SHUJAA GOLUGWA !
 
Huyu ni Chali wa ARusha,Mtoto wa Peter Golugwa (Nafikiri ) Amekulia Arusha Maeneo ya OLmatejoo,Amefanya kazi katika kampuni mbalimbali.Baba yake ni Mchungaji katika Kanisa la PEFA (Sina hakika). Binafsi nafikiri ana utulivu wa kiakili wa kuweza kusimamia kampeni ya Tundu Lissu.Mungu ampe Nguvu.
Jamaa yuko vizuri, anajua kumiliki umati kwa maneno yaliyopangiliwa bika kuchosha kabla hajamkabidhi Lissu kipaza sauti.
Heko kwao
 
Ana mke mzuri pia.
Namfahamu, ni mzaliwa wa Singida. Ana postgraduate diploma ya mambo ya finance. Alikuwa miongoni mwa wanafunzi bora uahasibu Arusha akiwa anafanya advance diploma.

Siyo muongeaji kiasili ila ni mtu mwenye akili nyingi sana. Yeye ndiyo amekuwa mpangaji mkubwa na kiongozi muendesha wa Chadema kuanzia Arusha na hata kaskazini nzima. Amefanya kazi kubwa. LEMA mwenyewe amejiunga na CHADEMA akitokea NCCR akipokelewa na Golugwa. Golugwa siyo mtu mwenye kuweza kununuliwa wala kuwa na msimamo ya kuyumbiwa yumbiwa. Hivyo siyo rahisi kuachana na Chadema.

Kabla ya kuachana na ajira alikuwa anafanya na shirika moja liitwalo EANASO pale Arusha kama Chief Accountant wakati huo huo alifanya kama katibu wa Chadema Mkoa Arusha pia, kama katibu wa kanisa moja la TAG lililopo Mshono kule Arusha. Kazi zote hizo alizifaya kiufasaha. Asubhuhi kibaruani, muda wa Lunchi ofisini kwa chadema na jioni kanisani. Very smart and busy guy.

Ni mzuri sana kwenye mipango ya kiharakati. Siyo mtu mwenye kupenda sana madaraka wala kujionyesha. Hivyo basi Golugwa hajawahi kugombea ubunge, hajawahi kuweka ndani katika harakati zote za Chadema na wala kushitakiwa kisiasa. Hii ndiyo driving engineer ya chadema kwa sasa. Naweza kusema huyu ni mtu mwenye mshahsuri mkuu wa wakina LEMA.

Taifa lilipaswa kuwa na mikakati ya kuwafahamu watu kama hawa na kuwatumia kwa maendeleo ya taifa bila kujali itikadi zao.
 
Ni kijana mmoja smart sana
Profesionally ni Accountant, nimewahi kufanya kazi nae akiwa chief auditor wa shirika nilili kuwa nafanya nae. Nadhani by then alikuwa na CPA.
 
Sikuwa namfahamu huyu mtu. Ila kwa nilivyoziona kampeni za Lissu ni dhahiri huyu jamaa ndo mrithi wa Kanali Abdulahaman Kinana kama Meneja Kampeni Bora zaidi kwa Siasa za Tanzania.
Kinana mwamba..yupo kwenye top ten yangu ya wanasiasa bora kabisa duniani, ukiacha tuhuma zake za ufisadi na kutokea chama Cha majizi
 
Back
Top Bottom