Papillon 1906
JF-Expert Member
- Jun 19, 2025
- 228
- 753
Ukiwa kwenye ndoa ukitaka kuwa na furaha lazima na mwenza wako awe na furaha lakini ukiwa pekeako unafurahia uhuru wako wewe unachagua nini?
Ukioa uwezi kulala bila ruhusa ya mwenza wako lakini ukiwa pekeako unachagua wewe muda gani ulale bora kipi?
Ukioa uwezi kulala bila ruhusa ya mwenza wako lakini ukiwa pekeako unachagua wewe muda gani ulale bora kipi?