Ukweli ni kwamba, kupendwa na sense of belonging ni mahitaji muhimu sana kwa binadamu. Baada ya mtu kupata chakula, malazi, na usalama, akili na moyo wake unatafuta mapenzi.
Cha kushangaza, kuna watu wapo kwenye ndoa na hawapati hayo mahitaji ya kupendwa and sense of belonging. Kwa mtu kama huyu ni bora kuwa single tu.