Nani anaifahamu vema gari hii DISCOVERY 4. Naomba mnipe details

Okay. Gharama zipo eneo gani sasa ufundi au eneo la manunuzi ya spare?!

Hapo South Africa si kuna kiwanda so i guess spare si zinapatikana kwa urahisi hapo South Africa?
 
Kuna Uzi huku kuhusu hayo Magari mkuu . Gari nzuri sana sio haya Maprado yamejazana huku mjini kama lst mpaka unafungua gari ya mwenzako .
Ha ha ha ha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebu share hiyo link ya uzi nijionee mkuu.
 
Mchukue mnyama huyo hutajuta
 
Kama unapenda mbio chukua V8 petrol. Kama unapenda fuel efficient chukua ya diesel. Epuka kuchukua yenye air suspension kwani ni nzuri sana kama unatembea mawinguni ila ikizingua utaita maji mma unless uwe na milioni 3-6 ya matengenezo
 
Sjafanya price comparison- ningekuwa na hio pesa estimate ninge i substitue kwa toyota fortuner- mara nyingi huwasimshauri mtu achukue europian car kama gari yake ya kwanza / au kuichukua wakati kavunja kibubu chake chote.. au akaenda kununua ya bei rahisi/ ya mkononi.
 
Hizi ni akili za kitoyota

Na akili zangu za kitoyota nisisitize ushauri wangu kwa mtoa mada maana hakutaja kujua watu wana akili gani ila facts kuhusu Disco 4.

Disocvery ni comfortable, practical na nzuri kuendesha na ina power ila ni sophisticated, complicated kama zilivyo gari nyingi za Ulaya. Atapambana na umeme, mziki wa air suspension, Electronic Parking brake yake inahitaji maintenance ya mara kwa mara n.k
Kama ana hela ya maintenance anunue. MAINTENANCE COSTS ni ghali, ziko juu (hii ni facts siyo maoni)
 
Okay. Gharama zipo eneo gani sasa ufundi au eneo la manunuzi ya spare?!

Hapo South Africa si kuna kiwanda so i guess spare si zinapatikana kwa urahisi hapo South Africa?

Spare utapata ila si rahisi. Baadhi ya issue ni
1. Electronic parking brake (lazima ufanye service mara kwa mara, la sivyo kuna siku ita jam)
2. Air suspension system (compressor, bags)
3. EGR Valves (diesel)
4. Umeme
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…