Nani anaifahamu vema gari hii DISCOVERY 4. Naomba mnipe details

Nani anaifahamu vema gari hii DISCOVERY 4. Naomba mnipe details

Nimeona kwenye mitandao watu wanazitia engine ya 1KZ ya TOYOTA
Sure kuna video inatembea kwenye watsapp bongo wakipatikana mafundi wengi wa kuswap engines basi wengi watazimiliki magari ambayo sio toyota
 
Ukiachana na 1HZ (NA), sidhani kama kuna modern turbo charged land cruiser engine ambayo ni nafuu kufanya maintainance.

Compare same parts, similar models Toyota Vs Land rover family.
Na hii 1HZ inaweza ingia kwenye discovery?
 
Back
Top Bottom