Nani anaifahamu vema gari hii DISCOVERY 4. Naomba mnipe details

Nani anaifahamu vema gari hii DISCOVERY 4. Naomba mnipe details

Wauza magari bongo wanapandisha Bei utadhani wao ndo wametengeneza hayo magari
 
Discovery ni gari gharama mnoo ku-maintain SPEA na mafundi bongo pasua kichwa
 
Kama vipi unafungu engine ya cruizer utaenjoy ila umpate fundi mzuri japo sasa gharama itaongezeka
Ukiachana na 1HZ (NA), sidhani kama kuna modern turbo charged land cruiser engine ambayo ni nafuu kufanya maintainance.

Compare same parts, similar models Toyota Vs Land rover family.
 
Back
Top Bottom