Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,496
Kununua air suspension ya 6M ndo uite maji mma?Kama unapenda mbio chukua V8 petrol. Kama unapenda fuel efficient chukua ya diesel. Epuka kuchukua yenye air suspension kwani ni nzuri sana kama unatembea mawinguni ila ikizingua utaita maji mma unless uwe na milioni 3-6 ya matengenezo