Nani anaifahamu vema gari hii DISCOVERY 4. Naomba mnipe details

Nani anaifahamu vema gari hii DISCOVERY 4. Naomba mnipe details

Kama unapenda mbio chukua V8 petrol. Kama unapenda fuel efficient chukua ya diesel. Epuka kuchukua yenye air suspension kwani ni nzuri sana kama unatembea mawinguni ila ikizingua utaita maji mma unless uwe na milioni 3-6 ya matengenezo
Kununua air suspension ya 6M ndo uite maji mma?
 
Gari zote ni nzuri, shida hatuna mafundi. Hawa watoto wa darasa la saba waliokimbilia garage watatengeneza gari gani zaidi ya kuwa wachafu. Huku walipaswa waingie engineers kama mechical n.k.
 
Sawa na mtu wa Audi atoe comments kwa mtu wa Bugati au Ferari.

Kuna mtu anachoma 3M weekend kwa ajili ya starehe na haimuumi.

How comes anunue air suspension ya 6M aite maji mma?

It depends na mtu na mtu ila kwa wastani, kwa watu wengi duniani (sio tu TZ), maintenance costs za Disco 4, range na luxury vehicles nyingine kadhaa, ziko juu as compared na gari nyingi za kijapan. Hata UK kwenyewe hivi ndivyo situation ilivyo.
Kama hajajipanga, ataumia kweli. So ni vizuri akijua kwamba kulihudumia si hela ndogo, na probably linahitaji uangalizi zaidi hata kama una hela
 
kachukue hili dungu jec pale kc global link kwa chris lukosi,bei ya kutupa ,sawa na vanguard
Yah jamaa kulingana na feedback za watu ndinga nzuri Sana from UK

Alafu discover gari konki Sana kikubwa uimaster vizuri iyo gari service Kwa wakati utaenjoy
 
Funguka kidogo. Napenda kuzifahamu pia. Ipi nzuri na inachangamoto gani kimatumizi. Na kama nikiipata kwa hapa Tanzania vipi maisha yatakuwa rahisi au itanitesa?!
We jamaa kama ela IPO chukua kama pesa ya madafu Achana nayo

NARUDIA TENA HII NI GARI YA GHARAMA MZEE VIPURI VYAKE TU BEI IMECHANGAMKE SO KAMA WEWE PESA VUTA NDINGA mwagito
 
Kwa kuwa umetaka ushauri nitakupa achana na hiyo kitu maana naona bado una utoto wa kutokuyajua magari chukua Rav 4 kuanzia ya 2006 cc2400 hiyo discover ni expensive sana pale itapokuletea majanga ila kama uma m 6 bank isiyokuwa na kazi agiza utaimudu vizuri.
 
Back
Top Bottom