Nani anajua nauli ya kutoka Kigamboni mpaka Kisiju

Kifulu

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2021
Posts
557
Reaction score
2,064
Nimepata dhalura Kesho ahsubui natakiwa kwenda kisiju na alienipia maelekezo hapajui
Ila nikifika bodaboda Toyote anapajua.

Sasa nani anajua nauli ya kutoka pale mkuranga mpaka kisiju anisaidie

Ni issue muhimu sana

Nimefanikiwa
 
Nauli 5000 tuuuu.....masaa 2 panda Mkuranga pale....kuko local sana waswahili woote pwani zbarwapo huko....kuna bandari bubu TPA to Zbar Majahazi kibao wavuvi kibao.....
 
Attachments

  • Screenshot_20241216-165033.png
    Screenshot_20241216-165033.png
    123.3 KB · Views: 3
Nauli 5000 tuuuu.....masaa 2 panda Mkuranga pale....kuko local sana waswahili woote pwani zbarwapo huko....kuna bandari bubu TPA to Zbar Majahazi kibao wavuvi kibao.....
Kufika uko unapandia gari Mkuranga? Duh
 
Back
Top Bottom