Nani anajua Taifa linapita nyakati gani kwa sasa?

TumainiEl

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
6,782
Reaction score
12,716
Wengi tunasikia nakuona mengi katika giza na nuru lakini ni nani ajuaye nyakati Taifa linapita. Wengi hatujuwi ila wakati ni darasa. Huenda kukawa na nyakati ngumu katika Utawala wa sasa na hii nikutokana na kiti kutamani kukaa kwenye kiti

Sasa hili limezuwa sintofahamu hasa ikizingatiwa unapokaa kwenye kiti kutokana na Mwenyekiti kudondoka hupaswi kukiatamia kiti ila kuendesha gari mpaka unapotakiwa kulifikisha nakuachia wenye gari either kukupa tena funguo au kukupumzisha. Sasa majani ya chai hayo yamekuwa majani ndani ya chai.

Mungu likumbuke Taifa letu TZ.
 
unapokaa kwenye kiti kutokana na Mwenyekiti kudondoka hupaswi kukiatamia kiti ila kuendesha gari mpaka unapotakiwa kulifikisha nakuachia wenye gari either kukupa tena funguo au kukupumzisha.
Kiti cha mtu, ni kile kiti cha nyumbani kwako,kiti cha baba, siku haupo, anakikalia mama, lakini kiti cha basi, hakina mwenyewe, anaposhuka mmoja, anakaa mwingine.

Ni sawa na kiti cha dereva, ajira ya dereva ni kuendesha tuu gari, hivyo anakalia kiti kuendesha gari, akifika salama, kama ni dereva mzuri, ataendelea kukalia kiti cha dereva na kuendelea kuendesha. Kama ni dereva mbaya, mwenye gari atamtaka kukabidhi funguo atafutwe dereva mwingine.

Thanks God Tanzania tulikuwa na dereva bingwa ila very rough rider, akakatizwa njiani, kwa sasa tumepata dereva ajuaye, very gentle, very sure, makini, mwenye jicho la kuona mbali, gari letu lenda mbio, na tutafika salama, na huu mwendo ni mwendo mdundo hadi 2030!
P
 
Wengi tunasikia nakuona mengi katika giza na nuru lakini ni nani ajuaye nyakati Taifa linapita. Wengi hatujuwi ila wakati ni darasa. Huenda kukawa na nyakati ngumu katika Utawala wa sasa na hii nikutokana na kiti kutamani kukaa kwenye kiti

Sasa hili limezuwa sintofahamu hasa ikizingatiwa unapokaa kwenye kiti kutokana na Mwenyekiti kudondoka hupaswi kukiatamia kiti ila kuendesha gari mpaka unapotakiwa kulifikisha nakuachia wenye gari either kukupa tena funguo au kukupumzisha. Sasa majani ya chai hayo yamekuwa majani ndani ya chai.

Mungu likumbuke Taifa letu TZ.
Nyie simliazimia mumnyime uenyekiti ndani ya chama,mbona mlishindwa Sasa??CCM imerudi kwa wenyewe, misukule ya ngosha hamna nafasi tena
 
Kiti cha mtu, ni kile kiti cha nyumbani kwako,kiti cha baba, siku haupo, anakikalia mama, lakini kiti cha basi, hakina mwenyewe, anaposhuka mmoja, anakaa mwingine.

Ni sawa na kiti cha dereva, ajira ya dereva ni kuendesha tuu gari, hivyo anakalia kiti kuendesha gari, akifika salama, kama ni dereva mzuri, ataendelea kukalia kiti cha dereva na kuendelea kuendesha. Kama ni dereva mbaya, mwenye gari atamtaka kukabidhi funguo atafutwe dereva mwingine.

Thanks God Tanzania tulikuwa na dereva bingwa ila very rough rider, akakatizwa njiani, kwa sasa tumepata dereva ajuaye, very gentle, very sure, makini, mwenye jicho la kuona mbali, gari letu lenda mbio, na tutafika salama, na huu mwendo ni mwendo mdundo hadi 2030!
P

Mmmh hamna kitu hapa. Ila hongera kwa kuvaa suruali ya mayenu jana star tv kwenye kipindi cha jicho letu ndani ya habari.
 
Kiti cha mtu, ni kile kiti cha nyumbani kwako,kiti cha baba, siku haupo, anakikalia mama, lakini kiti cha basi, hakina mwenyewe, anaposhuka mmoja, anakaa mwingine.

Ni sawa na kiti cha dereva, ajira ya dereva ni kuendesha tuu gari, hivyo anakalia kiti kuendesha gari, akifika salama, kama ni dereva mzuri, ataendelea kukalia kiti cha dereva na kuendelea kuendesha. Kama ni dereva mbaya, mwenye gari atamtaka kukabidhi funguo atafutwe dereva mwingine.

Thanks God Tanzania tulikuwa na dereva bingwa ila very rough rider, akakatizwa njiani, kwa sasa tumepata dereva ajuaye, very gentle, very sure, makini, mwenye jicho la kuona mbali, gari letu lenda mbio, na tutafika salama, na huu mwendo ni mwendo mdundo hadi 2030!
P
Asalam Mzee!

Je hii ni kauli yako rasmi?

Asante!
 
Pascal ni sawa japo umesahau maana tumeumbiwa kusahau binadam. Well ngoja nifunge mdo wangu maana siku hazigandi. Kuna kirusi kikiingia kwa pc yako lazima uformat upya pc. 🙄
 
Leo ni miongoni mwa siku ambazo nimekubaliana nawe kaka mkubwa.

Kumbe kuna kukubaliana na kutokukubaliana.

Kazi na iendelee.
 
Pascal ni sawa japo umesahau maana tumeumbiwa kusahau binadam. Well ngoja nifunge mdo wangu maana siku hazigandi. Kuna kirusi kikiingia kwa pc yako lazima uformat upya pc. 🙄
Tena kwa sasa itakuwa busara zaidi kama utafunga hilo domo lako na kuacha watu wailetee Tanzania maendeleo ya kweli.

Maendeleo yasiyo na gharama za damu za wengine.

Tunaweza kuendelea bila kuumizana. Please take note.
 
Kiti cha mtu, ni kile kiti cha nyumbani kwako,kiti cha baba, siku haupo, anakikalia mama, lakini kiti cha basi, hakina mwenyewe, anaposhuka mmoja, anakaa mwingine.

Ni sawa na kiti cha dereva, ajira ya dereva ni kuendesha tuu gari, hivyo anakalia kiti kuendesha gari, akifika salama, kama ni dereva mzuri, ataendelea kukalia kiti cha dereva na kuendelea kuendesha. Kama ni dereva mbaya, mwenye gari atamtaka kukabidhi funguo atafutwe dereva mwingine.

Thanks God Tanzania tulikuwa na dereva bingwa ila very rough rider, akakatizwa njiani, kwa sasa tumepata dereva ajuaye, very gentle, very sure, makini, mwenye jicho la kuona mbali, gari letu lenda mbio, na tutafika salama, na huu mwendo ni mwendo mdundo hadi 2030!
P
Dah jamaa ww ni mwenyekiti wa chama cha wanafiki duniani. Katibu wako ni Lameck.
 
Wengi tunasikia nakuona mengi katika giza na nuru lakini ni nani ajuaye nyakati Taifa linapita. Wengi hatujuwi ila wakati ni darasa. Huenda kukawa na nyakati ngumu katika Utawala wa sasa na hii nikutokana na kiti kutamani kukaa kwenye kiti

Sasa hili limezuwa sintofahamu hasa ikizingatiwa unapokaa kwenye kiti kutokana na Mwenyekiti kudondoka hupaswi kukiatamia kiti ila kuendesha gari mpaka unapotakiwa kulifikisha nakuachia wenye gari either kukupa tena funguo au kukupumzisha. Sasa majani ya chai hayo yamekuwa majani ndani ya chai.

Mungu likumbuke Taifa letu TZ.
"ila kuendesha gari mpaka unapotakiwa kulifikisha nakuachia wenye gari either kukupa tena funguo au kukupumzisha"

Mkuu tafadhari hebu tafadhari dadavua kidogo zaidi kuhusu hao wenye kumiliki gari na funguo kwenye hiyo nafasi nyeti ktk uongozi wa taifa letu, ambao humkabidhi yeyote yule wamtakae na kumyanganya yule wasiyependezwa naye. Una maana ya kikundi fulani cha watu ndani ya chama nje ya mfumo wa katiba ya chama ama chama chenyewe kwa ujumla wake ndani ya vikao vyake rasmi vya kikatiba?
 
Back
Top Bottom