Nani anajua Taifa linapita nyakati gani kwa sasa?

Nimecheka kwa nguvu, nilidhani mwanamuziki mkongwe Auruls Mabele kaingia studio, maana ile mwasi kitoko uliyopiga sio ya mchezo bro.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Lipo kundi ambalo tusipokuwa makini linaweza kuangamiza hii nchi....kundi hili limepotosha sana umma na sasa linaendelea kupanda mbegu ya chuki kwenye jamii..

Kundi hili halijui kama halina watu smart zaidi ya tamaa, ujinga, na ushamba matokeo yake kupitia hizo ajenda zao za kipuuzi watu smart walio nje ya mipaka wanamwagia petrol na kuchochea kwa nguvu ili tukija kustuka tayari tatizo ni kubwa kuliko uwezo wa hao wanaopandikiza mbegu mbaya....

Chonde chonde wazee wa nchi hii, umizeni vichwa mkae chini fikra zifanye kazi..Taifa likae sawa..
 
Wengi tunasikia nakuona mengi katika giza na nuru lakini ni nani ajuaye nyakati Taifa linapita. Wengi hatujuwi ila wakati ni darasa. Huenda kukawa na nyakati ngumu katika Utawala wa sasa na hii nikutokana na kiti kutamani kukaa kwenye kiti

Sasa hili limezuwa sintofahamu hasa ikizingatiwa unapokaa kwenye kiti kutokana na Mwenyekiti kudondoka hupaswi kukiatamia kiti ila kuendesha gari mpaka unapotakiwa kulifikisha nakuachia wenye gari either kukupa tena funguo au kukupumzisha. Sasa majani ya chai hayo yamekuwa majani ndani ya chai.

Mungu likumbuke Taifa letu TZ.
mtateseka sana. Kama mnaona hamridhiki hamieni somalia.
 
Kiti cha mtu, ni kile kiti cha nyumbani kwako,kiti cha baba, siku haupo, anakikalia mama, lakini kiti cha basi, hakina mwenyewe, anaposhuka mmoja, anakaa mwingine.

Ni sawa na kiti cha dereva, ajira ya dereva ni kuendesha tuu gari, hivyo anakalia kiti kuendesha gari, akifika salama, kama ni dereva mzuri, ataendelea kukalia kiti cha dereva na kuendelea kuendesha. Kama ni dereva mbaya, mwenye gari atamtaka kukabidhi funguo atafutwe dereva mwingine.

Thanks God Tanzania tulikuwa na dereva bingwa ila very rough rider, akakatizwa njiani, kwa sasa tumepata dereva ajuaye, very gentle, very sure, makini, mwenye jicho la kuona mbali, gari letu lenda mbio, na tutafika salama, na huu mwendo ni mwendo mdundo hadi 2030!
P

Kakatizwa au alikatika kwa ujinga wake?
 
P soma iyo baba....
 
Wengi tunasikia nakuona mengi katika giza na nuru lakini ni nani ajuaye nyakati Taifa linapita. Wengi hatujuwi ila wakati ni darasa. Huenda kukawa na nyakati ngumu katika Utawala wa sasa na hii nikutokana na kiti kutamani kukaa kwenye kiti

Sasa hili limezuwa sintofahamu hasa ikizingatiwa unapokaa kwenye kiti kutokana na Mwenyekiti kudondoka hupaswi kukiatamia kiti ila kuendesha gari mpaka unapotakiwa kulifikisha nakuachia wenye gari either kukupa tena funguo au kukupumzisha. Sasa majani ya chai hayo yamekuwa majani ndani ya chai.

Mungu likumbuke Taifa letu TZ.
Baya linalokuja si kwa Tanzania tu mkuu,ni kwa dunia nzima.Tunakwenda kushuhudia vifo ambavyo hatujawahi kushuhudia duniani:2/3 ya wanadamu watakufa,dunia itakuwa na dini moja ya kishetani,curreny moja,serikali moja na makao makuu yake yatakuwa Abu Dhabi,UAE.Serikali hii itatekeleza unyama kwa wanadamu kwa kiwango ambacho hakijawahi kushuhudiwa na wanadamu.Hayo ndiyo yanayokuja mkuu,tujiandae.Sitishi watu,ila huo ndio ukweli.
 
Kiti cha mtu, ni kile kiti cha nyumbani kwako,kiti cha baba, siku haupo, anakikalia mama, lakini kiti cha basi, hakina mwenyewe, anaposhuka mmoja, anakaa mwingine.

Ni sawa na kiti cha dereva, ajira ya dereva ni kuendesha tuu gari, hivyo anakalia kiti kuendesha gari, akifika salama, kama ni dereva mzuri, ataendelea kukalia kiti cha dereva na kuendelea kuendesha. Kama ni dereva mbaya, mwenye gari atamtaka kukabidhi funguo atafutwe dereva mwingine.

Thanks God Tanzania tulikuwa na dereva bingwa ila very rough rider, akakatizwa njiani, kwa sasa tumepata dereva ajuaye, very gentle, very sure, makini, mwenye jicho la kuona mbali, gari letu lenda mbio, na tutafika salama, na huu mwendo ni mwendo mdundo hadi 2030!
P
"Akakatizwa njiani" Nani alimkatiza njiani?
 
Malalamiko Fc
Wengi tunasikia nakuona mengi katika giza na nuru lakini ni nani ajuaye nyakati Taifa linapita. Wengi hatujuwi ila wakati ni darasa. Huenda kukawa na nyakati ngumu katika Utawala wa sasa na hii nikutokana na kiti kutamani kukaa kwenye kiti

Sasa hili limezuwa sintofahamu hasa ikizingatiwa unapokaa kwenye kiti kutokana na Mwenyekiti kudondoka hupaswi kukiatamia kiti ila kuendesha gari mpaka unapotakiwa kulifikisha nakuachia wenye gari either kukupa tena funguo au kukupumzisha. Sasa majani ya chai hayo yamekuwa majani ndani ya chai.

Mungu likumbuke Taifa letu TZ.
 
Duuu
emoji119.png
emoji119.png
Mbona yule alisema jamaa ni jembe lake kweli kweli?? Halafu yule jamaa wa kusini mbona kakaa kimya sana, Niguse unuke?
lile la mdimu, its a done deal, kwisha habari yake, sasa ni heshima na adabu kwa Mama.
P
 
TAIFA LILIKUWA KWENYE MOTO,KWA SASA LINAPITA KWENYE BARIDI-MOTO,KUELEKEA KWENYE BARIDI
 
Back
Top Bottom