Nani anajua Taifa linapita nyakati gani kwa sasa?

Nani anajua Taifa linapita nyakati gani kwa sasa?

Fanyeni kazi wazee

Siasa zitawapasua vichwa

Nchi hii ina wenyewe

Ova
 
Hakuna mwenye nchi hili ni Taifa la watanzania... Time will tell
Theoretically uko sahihi,
Practically Kikwete ndo mwenye nchi.

Viongozi wengi wa sasa ni vijana wa Kikwete ukianza na Samia.

Kama kweli mna nia ya kurekebisha mambo basi muda ni sasa.

Kusubiri 2025 ni kujidanganya.

Wanajua kosa la Magufuli na kilichompata, hawatakubali kufanya makosa yaleyale .

Nchi ishakuwa ya kifalme hii.
 
Siku hizi TumainEl nakuelewa sana, Kuna wakati nilikuchukia hasa kwa issue ya sa8,ila. Siku hizi nakuelewa.Kuna bandiko uliweka la Bundi kulia tena ikulu, naitafuta siioni
 
Back
Top Bottom