Kiti cha mtu, ni kile kiti cha nyumbani kwako,kiti cha baba, siku haupo, anakikalia mama, lakini kiti cha basi, hakina mwenyewe, anaposhuka mmoja, anakaa mwingine.
Ni sawa na kiti cha dereva, ajira ya dereva ni kuendesha tuu gari, hivyo anakalia kiti kuendesha gari, akifika salama, kama ni dereva mzuri, ataendelea kukalia kiti cha dereva na kuendelea kuendesha. Kama ni dereva mbaya, mwenye gari atamtaka kukabidhi funguo atafutwe dereva mwingine.
Thanks God Tanzania tulikuwa na dereva bingwa ila very rough rider, akakatizwa njiani, kwa sasa tumepata dereva ajuaye, very gentle, very sure, makini, mwenye jicho la kuona mbali, gari letu lenda mbio, na tutafika salama, na huu mwendo ni mwendo mdundo hadi 2030!
P