Kiti cha mtu, ni kile kiti cha nyumbani kwako,kiti cha baba, siku haupo, anakikalia mama, lakini kiti cha basi, hakina mwenyewe, anaposhuka mmoja, anakaa mwingine.unapokaa kwenye kiti kutokana na Mwenyekiti kudondoka hupaswi kukiatamia kiti ila kuendesha gari mpaka unapotakiwa kulifikisha nakuachia wenye gari either kukupa tena funguo au kukupumzisha.
Nyie simliazimia mumnyime uenyekiti ndani ya chama,mbona mlishindwa Sasa??CCM imerudi kwa wenyewe, misukule ya ngosha hamna nafasi tenaWengi tunasikia nakuona mengi katika giza na nuru lakini ni nani ajuaye nyakati Taifa linapita. Wengi hatujuwi ila wakati ni darasa. Huenda kukawa na nyakati ngumu katika Utawala wa sasa na hii nikutokana na kiti kutamani kukaa kwenye kiti
Sasa hili limezuwa sintofahamu hasa ikizingatiwa unapokaa kwenye kiti kutokana na Mwenyekiti kudondoka hupaswi kukiatamia kiti ila kuendesha gari mpaka unapotakiwa kulifikisha nakuachia wenye gari either kukupa tena funguo au kukupumzisha. Sasa majani ya chai hayo yamekuwa majani ndani ya chai.
Mungu likumbuke Taifa letu TZ.
Kiti cha mtu, ni kile kiti cha nyumbani kwako,kiti cha baba, siku haupo, anakikalia mama, lakini kiti cha basi, hakina mwenyewe, anaposhuka mmoja, anakaa mwingine.
Ni sawa na kiti cha dereva, ajira ya dereva ni kuendesha tuu gari, hivyo anakalia kiti kuendesha gari, akifika salama, kama ni dereva mzuri, ataendelea kukalia kiti cha dereva na kuendelea kuendesha. Kama ni dereva mbaya, mwenye gari atamtaka kukabidhi funguo atafutwe dereva mwingine.
Thanks God Tanzania tulikuwa na dereva bingwa ila very rough rider, akakatizwa njiani, kwa sasa tumepata dereva ajuaye, very gentle, very sure, makini, mwenye jicho la kuona mbali, gari letu lenda mbio, na tutafika salama, na huu mwendo ni mwendo mdundo hadi 2030!
P
Asalam Mzee!Kiti cha mtu, ni kile kiti cha nyumbani kwako,kiti cha baba, siku haupo, anakikalia mama, lakini kiti cha basi, hakina mwenyewe, anaposhuka mmoja, anakaa mwingine.
Ni sawa na kiti cha dereva, ajira ya dereva ni kuendesha tuu gari, hivyo anakalia kiti kuendesha gari, akifika salama, kama ni dereva mzuri, ataendelea kukalia kiti cha dereva na kuendelea kuendesha. Kama ni dereva mbaya, mwenye gari atamtaka kukabidhi funguo atafutwe dereva mwingine.
Thanks God Tanzania tulikuwa na dereva bingwa ila very rough rider, akakatizwa njiani, kwa sasa tumepata dereva ajuaye, very gentle, very sure, makini, mwenye jicho la kuona mbali, gari letu lenda mbio, na tutafika salama, na huu mwendo ni mwendo mdundo hadi 2030!
P
Pascal ni sawa japo umesahau maana tumeumbiwa kusahau binadam. Well ngoja nifunge mdo wangu maana siku hazigandi. Kuna kirusi kikiingia kwa pc yako lazima uformat upya pc. πKiti cha mtu, ni kile kiti cha nyumbani kwako,kiti cha baba, siku haupo, anakikalia mama, lakini kiti cha basi, hakina mwenyewe, anaposhuka mmoja, anakaa mwingine.
Ni sawa na kiti cha dereva, ajira ya dereva ni kuendesha tuu gari, hivyo anakalia kiti kuendesha gari, akifika salama, kama ni dereva mzuri, ataendelea kukalia kiti cha dereva na kuendelea kuendesha. Kama ni dereva mbaya, mwenye gari atamtaka kukabidhi funguo atafutwe dereva mwingine.
Thanks God Tanzania tulikuwa na dereva bingwa ila very rough rider, akakatizwa njiani, kwa sasa tumepata dereva ajuaye, very gentle, very sure, makini, mwenye jicho la kuona mbali, gari letu lenda mbio, na tutafika salama, na huu mwendo ni mwendo mdundo hadi 2030!
P
Leo ni miongoni mwa siku ambazo nimekubaliana nawe kaka mkubwa.Kiti cha mtu, ni kile kiti cha nyumbani kwako,kiti cha baba, siku haupo, anakikalia mama, lakini kiti cha basi, hakina mwenyewe, anaposhuka mmoja, anakaa mwingine.
Ni sawa na kiti cha dereva, ajira ya dereva ni kuendesha tuu gari, hivyo anakalia kiti kuendesha gari, akifika salama, kama ni dereva mzuri, ataendelea kukalia kiti cha dereva na kuendelea kuendesha. Kama ni dereva mbaya, mwenye gari atamtaka kukabidhi funguo atafutwe dereva mwingine.
Thanks God Tanzania tulikuwa na dereva bingwa ila very rough rider, akakatizwa njiani, kwa sasa tumepata dereva ajuaye, very gentle, very sure, makini, mwenye jicho la kuona mbali, gari letu lenda mbio, na tutafika salama, na huu mwendo ni mwendo mdundo hadi 2030!
P
Asee.bsPascal ni sawa japo umesahau maana tumeumbiwa kusahau binadam. Well ngoja nifunge mdo wangu maana siku hazigandi. Kuna kirusi kikiingia kwa pc yako lazima uformat upya pc. π
Tena kwa sasa itakuwa busara zaidi kama utafunga hilo domo lako na kuacha watu wailetee Tanzania maendeleo ya kweli.Pascal ni sawa japo umesahau maana tumeumbiwa kusahau binadam. Well ngoja nifunge mdo wangu maana siku hazigandi. Kuna kirusi kikiingia kwa pc yako lazima uformat upya pc. π
Dah jamaa ww ni mwenyekiti wa chama cha wanafiki duniani. Katibu wako ni Lameck.Kiti cha mtu, ni kile kiti cha nyumbani kwako,kiti cha baba, siku haupo, anakikalia mama, lakini kiti cha basi, hakina mwenyewe, anaposhuka mmoja, anakaa mwingine.
Ni sawa na kiti cha dereva, ajira ya dereva ni kuendesha tuu gari, hivyo anakalia kiti kuendesha gari, akifika salama, kama ni dereva mzuri, ataendelea kukalia kiti cha dereva na kuendelea kuendesha. Kama ni dereva mbaya, mwenye gari atamtaka kukabidhi funguo atafutwe dereva mwingine.
Thanks God Tanzania tulikuwa na dereva bingwa ila very rough rider, akakatizwa njiani, kwa sasa tumepata dereva ajuaye, very gentle, very sure, makini, mwenye jicho la kuona mbali, gari letu lenda mbio, na tutafika salama, na huu mwendo ni mwendo mdundo hadi 2030!
P
"ila kuendesha gari mpaka unapotakiwa kulifikisha nakuachia wenye gari either kukupa tena funguo au kukupumzisha"Wengi tunasikia nakuona mengi katika giza na nuru lakini ni nani ajuaye nyakati Taifa linapita. Wengi hatujuwi ila wakati ni darasa. Huenda kukawa na nyakati ngumu katika Utawala wa sasa na hii nikutokana na kiti kutamani kukaa kwenye kiti