Nani anajua Taifa linapita nyakati gani kwa sasa?

Nimecheka kwa nguvu, nilidhani mwanamuziki mkongwe Auruls Mabele kaingia studio, maana ile mwasi kitoko uliyopiga sio ya mchezo bro.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Lipo kundi ambalo tusipokuwa makini linaweza kuangamiza hii nchi....kundi hili limepotosha sana umma na sasa linaendelea kupanda mbegu ya chuki kwenye jamii..

Kundi hili halijui kama halina watu smart zaidi ya tamaa, ujinga, na ushamba matokeo yake kupitia hizo ajenda zao za kipuuzi watu smart walio nje ya mipaka wanamwagia petrol na kuchochea kwa nguvu ili tukija kustuka tayari tatizo ni kubwa kuliko uwezo wa hao wanaopandikiza mbegu mbaya....

Chonde chonde wazee wa nchi hii, umizeni vichwa mkae chini fikra zifanye kazi..Taifa likae sawa..
 
mtateseka sana. Kama mnaona hamridhiki hamieni somalia.
 

Kakatizwa au alikatika kwa ujinga wake?
 
P soma iyo baba....
 
Baya linalokuja si kwa Tanzania tu mkuu,ni kwa dunia nzima.Tunakwenda kushuhudia vifo ambavyo hatujawahi kushuhudia duniani:2/3 ya wanadamu watakufa,dunia itakuwa na dini moja ya kishetani,curreny moja,serikali moja na makao makuu yake yatakuwa Abu Dhabi,UAE.Serikali hii itatekeleza unyama kwa wanadamu kwa kiwango ambacho hakijawahi kushuhudiwa na wanadamu.Hayo ndiyo yanayokuja mkuu,tujiandae.Sitishi watu,ila huo ndio ukweli.
 
"Akakatizwa njiani" Nani alimkatiza njiani?
 
Malalamiko Fc
 
Duuu Mbona yule alisema jamaa ni jembe lake kweli kweli?? Halafu yule jamaa wa kusini mbona kakaa kimya sana, Niguse unuke?
lile la mdimu, its a done deal, kwisha habari yake, sasa ni heshima na adabu kwa Mama.
P
 
TAIFA LILIKUWA KWENYE MOTO,KWA SASA LINAPITA KWENYE BARIDI-MOTO,KUELEKEA KWENYE BARIDI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…