mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 88,759 Reaction score 123,368 Jan 8, 2022 #81 Fanyeni kazi wazee Siasa zitawapasua vichwa Nchi hii ina wenyewe Ova
T TumainiEl JF-Expert Member Joined Jan 13, 2010 Posts 6,782 Reaction score 12,716 Jan 9, 2022 Thread starter #82 mrangi said: Fanyeni kazi wazee Siasa zitawapasua vichwa Nchi hii ina wenyewe Ova Click to expand... Hakuna mwenye nchi hili ni Taifa la watanzania... Time will tell
mrangi said: Fanyeni kazi wazee Siasa zitawapasua vichwa Nchi hii ina wenyewe Ova Click to expand... Hakuna mwenye nchi hili ni Taifa la watanzania... Time will tell
U Unknown2 JF-Expert Member Joined Oct 16, 2016 Posts 2,352 Reaction score 5,055 Jan 12, 2022 #83 TumainiEl said: Hakuna mwenye nchi hili ni Taifa la watanzania... Time will tell Click to expand... Theoretically uko sahihi, Practically Kikwete ndo mwenye nchi. Viongozi wengi wa sasa ni vijana wa Kikwete ukianza na Samia. Kama kweli mna nia ya kurekebisha mambo basi muda ni sasa. Kusubiri 2025 ni kujidanganya. Wanajua kosa la Magufuli na kilichompata, hawatakubali kufanya makosa yaleyale . Nchi ishakuwa ya kifalme hii.
TumainiEl said: Hakuna mwenye nchi hili ni Taifa la watanzania... Time will tell Click to expand... Theoretically uko sahihi, Practically Kikwete ndo mwenye nchi. Viongozi wengi wa sasa ni vijana wa Kikwete ukianza na Samia. Kama kweli mna nia ya kurekebisha mambo basi muda ni sasa. Kusubiri 2025 ni kujidanganya. Wanajua kosa la Magufuli na kilichompata, hawatakubali kufanya makosa yaleyale . Nchi ishakuwa ya kifalme hii.
Nyabutoro JF-Expert Member Joined Apr 8, 2017 Posts 1,342 Reaction score 1,596 Jan 12, 2022 #84 Siku hizi TumainEl nakuelewa sana, Kuna wakati nilikuchukia hasa kwa issue ya sa8,ila. Siku hizi nakuelewa.Kuna bandiko uliweka la Bundi kulia tena ikulu, naitafuta siioni
Siku hizi TumainEl nakuelewa sana, Kuna wakati nilikuchukia hasa kwa issue ya sa8,ila. Siku hizi nakuelewa.Kuna bandiko uliweka la Bundi kulia tena ikulu, naitafuta siioni