Nani anakuvutia zaidi hapa JamiiForums?

Mujini wanasema pesa imetambaa na haijulikani ilipo.
Wala sio uwongo, ingekuwa zamani zilee ahaaa ss hivi nngeshajua baada ya mume kazi kuniacha wapi nitakuwa ila ss hivi duuu, walahi sikuwa nakumbuka kama leo Ijumaa
 
.......muosha rungu, mbona umenisahau kwenye list au kuna mtu kanifuta kwenye list uliyoandika?

Basi siku ukiandika list ya wenye hela usinipite Mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…