Nani anakuvutia zaidi hapa JamiiForums?

Wala hakuna foleni Sakayo, uchakaramu wa BAK tu ndiyo unafanya uamini hivyo. Ila namshukuru Mungu kusema kweli kwamba maandishi yangu humu yamefanya baadhi wavutiwe nayo.
Usijali BAK... Nimekuona upande wa pili kule ujue!!!! Ngastukaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…