Nani anakuvutia zaidi hapa JamiiForums?

Nani anakuvutia zaidi hapa JamiiForums?

Bora niwe na lesbian kuliko mwanaume mwenye dushe hlf mrembo.

Hahahaha umetisherrrr!siku 1 Irene uwoya nae alisema anapenda wanaume wenye sura mbaya nilimuunga mkono rafiki angu hakunielewa kbs! mm napenda men wee awe ana ugwadu uson mchachu ah raha sana! ila wanapotea kwa kasi kubwa kweli kila wknd unawakuta saloon mara facial,mara scrub arghhhhhhh hisia zinakata!
 
Yes hiyo ndio user name yake, Lazima awe mgeni kwako, MMU huwa anatokea kwa nadra sana, na ikitokea comment yake lazima ifunike zoooote[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Inaonekana ni humble,mwenye busara na ana akili sana aiseee. Kuna comment moja alishushaga nikajikuta namfuatilia tu.
Aiseeee...
Sijawahi muona na venye nazururaga jf yooote
 
Hahahaha umetisherrrr!siku 1 Irene uwoya nae alisema anapenda wanaume wenye sura mbaya nilimuunga mkono rafiki angu hakunielewa kbs! mm napenda men wee awe ana ugwadu uson mchachu ah raha sana! ila wanapotea kwa kasi kubwa kweli kila wknd unawakuta saloon mara facial,mara scrub arghhhhhhh hisia zinakata!
Wanaume tunapungua kwa kasi sana

Sent From Ikulu-Magogoni street
 
Back
Top Bottom