Nani anakuvutia zaidi hapa JamiiForums?

Nani anakuvutia zaidi hapa JamiiForums?

hahahahahahah! art zako tu inaonekana ukikaa salon unakaa weeee mara hapa rekebisha mara punguza kias ndev eishhh! ukiwa kama KOVU(A) walah najilipua .hahahahahahahah (kiddng bwana) k.O.V.A kazid uchachu
Hahaha, sina mambo hayo aisee. Sijawahi kusugua uso na nanyoa kawaida tu ili ukija kuchezea kifua na kunichumu shavuni usichomwe na madevu[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji12] ila unapotezea hoja yangu ya msingi[emoji1] [emoji1]
 
Sasa unanong'ona kisha unakimbia? Lol! Hahahahaha sijasikia vizuri Emmyta.
[emoji6][emoji6][emoji6]

Wacha wee. [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]

[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]

[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
And i already told you love... Ukiwa na hasira or anything.. Njoo uzimalizie kwangu... I will swallow all your anger and cool u down love...
[emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173]
Thanks love.. You know kwako siwezi react anything jamani nikiwa nawe tu hasira kwishaaaa najikuta mwenye tabasamu tu masaa yote .. .. Thank you Smart911 wamimi [emoji8] [emoji8]
 
Hahaha, sina mambo hayo aisee. Sijawahi kusugua uso na nanyoa kawaida tu ili ukija kuchezea kifua na kunichumu shavuni usichomwe na madevu[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji12] ila unapotezea hoja yangu ya msingi[emoji1] [emoji1]

KAMA una ndevu bas wewe mwanaume halisia!khaaa mwanaume plain kama na.pe. mm sitaki jaman!
 
Thanks love.. You know kwako siwezi react anything jamani nikiwa nawe tu hasira kwishaaaa najikuta mwenye tabasamu tu masaa yote .. .. Thank you Smart911 wamimi [emoji8] [emoji8]
Nikiona umechukia sana... Nakubeba nakupeleka kuleee... Ukitoka hapo unacheka tu na kutabasamu unasahau kama ulikuwa na hasira...

It's just have been busy today...
 
Teh teh unapenda mwenye ndevu kama zitto?

zito chache ...mie napenda ndevu haswa jaman! mfano wa hashim Rungwe! Yaaan nadata jaman! afu ziwe zinachoma choma !au joh makini! nashukuru Mungu hubby anazo..ile kuchoma choma mie yalaaah!
 
Back
Top Bottom