Nani anakuvutia zaidi hapa JamiiForums?

Nani anakuvutia zaidi hapa JamiiForums?

Hakunaga kama bf wangu

nb list iyo sio sahii yaan kimtazamo jf ina wanaume wazuuri wasomi balaa ila kuwatambua kwa comments zao ni ngum ila wengi wa maana wanafanana na comment zao

pili ukitaka kujua mtu yeye ni nani mfano ona hao wanaobandika mabango ya wachumba. Ukiona vigezo unaweza kujua huyu mtu ni nani.

Mwisho wanaume wa maana jf sio maarufu sana
Dogo
Cc daby
Mondray
Nyani ngabu
Stunted
Bak
Asprin

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]naona umechoka kukimbia, pole kwa uchovu.

Ushawaita wachochezi kuna kipi tena jaman BAK zaidi ya kuwapuuza. [emoji12] [emoji12]

Ila sio kwa uchokozi huo lol. [emoji124] [emoji124]
 
Sijuwi unaongelea ukiwa gani mkuu labda nikufahamishe tu kwa hapa jf nishalamba wanawake 3 tayri ila sina habr nao kwa sisi mablayer hatuna time na kupendwa mi najuwa kula na kunawa tu

great thinker


nyie ndo vivulana tunaowaongelea!nahakika iko siku utawataja majina kbs humu! pole zao uliolala nao kwakwel!jitahid ukue
 
Back
Top Bottom