Nani anakuvutia zaidi hapa JamiiForums?

Dogo
Cc daby
Mondray
Nyani ngabu
Stunted
Bak
Asprin

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]naona umechoka kukimbia, pole kwa uchovu.

Ushawaita wachochezi kuna kipi tena jaman BAK zaidi ya kuwapuuza. [emoji12] [emoji12]

Ila sio kwa uchokozi huo lol. [emoji124] [emoji124]
 
Sijuwi unaongelea ukiwa gani mkuu labda nikufahamishe tu kwa hapa jf nishalamba wanawake 3 tayri ila sina habr nao kwa sisi mablayer hatuna time na kupendwa mi najuwa kula na kunawa tu

great thinker


nyie ndo vivulana tunaowaongelea!nahakika iko siku utawataja majina kbs humu! pole zao uliolala nao kwakwel!jitahid ukue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…