Sure mkuu umewala watatu humu!Sijuwi unaongelea ukiwa gani mkuu labda nikufahamishe tu kwa hapa jf nishalamba wanawake 3 tayri ila sina habr nao kwa sisi mablayer hatuna time na kupendwa mi najuwa kula na kunawa tu
great thinker
Mchau Wa mcharuko!!!weeeeeeeeee mtata yule hata usimtaje!alikuwa na ban sijui imeisha?
Haha baby face body softumesema kwenu wanakujuaga kama msichana,umerith genes za mama au sijaelewa!
YapIna maana una bonge la shepu na sura nzuri? Kuna comment yako sijaielewa
Siku ukifanyiwa hiyo utalia ka mbwa aliyepigwasipendi hilo tukio!mie just kisses bas!
Nadhani hujuwi kwanini nimeandika hivyo kuna mtu alinijaribu nikapiganyie ndo vivulana tunaowaongelea!nahakika iko siku utawataja majina kbs humu! pole zao uliolala nao kwakwel!jitahid ukue
Pole na majukumu mfalme wangu jamani I wish nikujege ofisini kwako kukusaidia ila ndoivo it will make things even worse make.. Make make mhmmhmhmhmh itakua kama ileee siku ya LOVED ONES mweh!Nikiona umechukia sana... Nakubeba nakupeleka kuleee... Ukitoka hapo unacheka tu na kutabasamu unasahau kama ulikuwa na hasira...
It's just have been busy today...
Mwanamme mzuri na anayevutia wanawake siku zote ni dushe lililoshiba, si zaidi ya hapo.
Demi demi demi!Ha ha haaaaa so mwanaume unayempenda jf ni ONTARIO ? Jibu kwanza hili swali.
Mmh okay.
Mi nikisikia hela....hahahahahahahahhahah balaa hili!mwanaume KITONGA
Hahaha... Bado hujasahau tu love...Pole na majukumu mfalme wangu jamani I wish nikujege ofisini kwako kukusaidia ila ndoivo it will make things even worse make.. Make make mhmmhmhmhmh itakua kama ileee siku ya LOVED ONES mweh!
Mahondaw wa Smart911
Mzee baba thanks for the love, lkn wanaume are made to hustle, let's keep it real. Niliplan kutoa laki kwa bi'shosti Demi, naona kaleta maringo mwenzie Agata kaja kuovertake. So it's fair wote wanapata 50 - 50 lkn na wewe ukitaka kutelezea ganda la ndizi tunaweza pia kuigawa hiyo laki ikawa 35 - 35 [emoji23]Ontario Na mm nije basi unipe mpunga Wa weekend mleta Uzi
Au offer ya wadada tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Jibu basi maana zawadi anatoa kwa wanaompenda si muanzisha uzi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]naona umechoka kukimbia, pole kwa uchovu.
Sawa aisee hela haikataliwi nitahastle mbinguniMzee baba thanks for the love, lkn wanaume are made to hustle, let's keep it real. Niliplan kutoa laki kwa bi'shosti Demi, naona kaleta maringo mwenzie Agata kaja kuovertake. So it's fair wote wanapata 50 - 50 lkn na wewe ukitaka kutelezea ganda la ndizi tunaweza pia kuigawa hiyo laki ikawa 35 - 35 [emoji23]
Pole na majukumu mfalme wangu jamani I wish nikujege ofisini kwako kukusaidia ila ndoivo it will make things even worse make.. Make make mhmmhmhmhmh itakua kama ileee siku ya LOVED ONES mweh!
Mahondaw wa Smart911