Nani anakuvutia zaidi hapa JamiiForums?

Kugawana na mwenzangu its okay. Huyu mleta uzi hapana aisee...mwache mwanaume apambane na hali yake. Umekata panga tena! 35!!?? Acha bana mkuu!
Cc..... Nisemeee
 
Naona umetoa ya moyoni..
 
Sijui niagize popcorn...
 
mama lao nimeamua kuwaeleza ukweli!hawa hawajui maana halisi ya mapenzi! hawana hisia wanafake !watuache wenye hisia zetu! raha ya kutxt ujinga ujinga mkiwa wawili....huko mtakumbushiana meeeeng weeeee !...lol!agiza mamy wapi Mzigua90
Mzigua90 atakuwa kasinzia bhanaa...

Mie siongezi neno, nisijepimwa kojo bureee
 
hahaah mamake mdogo ndo nimemwambia! hawa nakuambia wanafake!hawajui maana halisi ya feelings nakuambia! unamfeel mpenzi wako unamropokea kwa watu si wehu huo! au kwa lugha nyingine MWIZI TU
Hahaha
Wanaita mubashara mamy.... Zeeka uyaonee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…