Nani anakuvutia zaidi hapa JamiiForums?

Nani anakuvutia zaidi hapa JamiiForums?

Kugawana na mwenzangu its okay. Huyu mleta uzi hapana aisee...mwache mwanaume apambane na hali yake. Umekata panga tena! 35!!?? Acha bana mkuu!
Cc..... Nisemeee
 
tang

samahani mdogo wangu! kwann mnapenda kujiexpose namna hyo hapa barazani!kwann msiend pm kukumbushiana

mautaam yenu pm! hv ni USHAMBA AU UTOTO AU ULIMBUKENI! mtakuwa lini jaman! hv kila mtu aanze kuelezea

alivyokunwa humu mara ukumbukie unavyosuguliwa uyaanike hapa hv huon kama kuna wanawake wengn wanaweza

kukuibia! sasa ww shoga yangu ukiolewa si ndo utahadithia staff nzima unavyosuguliwa jaman! binafsi mie kama MBITI

sipend wala sikuonei wivu kbs my dear najitahd kukuweka sawa siku usipoishi nae huyu nahakika utakuja na ID

nyingine!kama umenielewa nashukuru kama hujanielewa ruksa kuninyali
Naona umetoa ya moyoni..
 
Sijui niagize popcorn...
 
mama lao nimeamua kuwaeleza ukweli!hawa hawajui maana halisi ya mapenzi! hawana hisia wanafake !watuache wenye hisia zetu! raha ya kutxt ujinga ujinga mkiwa wawili....huko mtakumbushiana meeeeng weeeee !...lol!agiza mamy wapi Mzigua90
Mzigua90 atakuwa kasinzia bhanaa...

Mie siongezi neno, nisijepimwa kojo bureee
 
hahaah mamake mdogo ndo nimemwambia! hawa nakuambia wanafake!hawajui maana halisi ya feelings nakuambia! unamfeel mpenzi wako unamropokea kwa watu si wehu huo! au kwa lugha nyingine MWIZI TU
Hahaha
Wanaita mubashara mamy.... Zeeka uyaonee
 
Back
Top Bottom