Nani anakuvutia zaidi hapa JamiiForums?

Huku hakuna uhalisia, watu wanatumia avatar sio zao. Utakuta ana sura kama tangazo la chai jaba
 
Huku hakuna uhalisia, watu wanatumia avatar sio zao. Utakuta ana sura kama tangazo la chai jaba


hahahahahahhahahhahhhahhahhhahahahahah!mbn ht nyie mamen mnatumia avatar fekelo! unakuta mwanaume kifua kitaaaaaaaaaammmmmmm ndevu nzuriiiiiiiiiiiiiii kume kiuhalisia mpo kama couver
 
Huku hakuna uhalisia, watu wanatumia avatar sio zao. Utakuta ana sura kama tangazo la chai jaba
Hiyo isikusumbue, Nadhani pia wengine tunaweza pata mantiki hasa ya kuvutiwa na mtu au kumpenda mtu hata ambaye hujamuona.
True love haiji kwa urembo/uzuri wa mtu bali character...
Unapendezwa na wazazi wako, wanao, nduguzo etc si kwa uzuri wao bali kwa thamani wanayoongeza kwenye maisha yako.
Kwenye Hii thread si suala la kuchagua mchumba, maana Huyo Kuna vitu zaidi utapaswa utazame Kabla ya kukubali kuwa naye..Hii thread imetutaka kutaja mwanamke anayevutia JF so una uwanja mpana wa kumchagua iwe urembo, msg zake. Avatars yake etc.... Labda useme huna hata uhakika kama Humu pia Kuna wanawake...
 
Paprika,na evelny chumvi,ntawazamia pm siku moja kwa tongozo,
hasa huyu wa pili anaonekana kwenye sita kwa sita yuko mutamu sana kuliko asali.
 
Heaven Sent
Ndyo mwanamke bora Zaidi kwangu anagusa zile angle nnazo zipenda she do the things i like na nnapenda anavyo respond.

Heaven Sent
espy
Shunie
nsamaka
babe S
Numbisa...
Kumbe wameambiwa wanaume...samahan mtoa mada
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…