Nani anakuvutia zaidi hapa JamiiForums?

Nani anakuvutia zaidi hapa JamiiForums?

Ingawa wanasema uzuri Upo kwa anayeona(beautiful is on the eye of the beholder)

Pia ingawa wanawake ni wagumu sana kueleza hisia zao kwa mwanaume wanayempenda at the first time ila hubaki Na ukweli huo moyoni Na aghalabu hujaribu kuzieleza au kufikisha hisia hizo kwa
Lugha ya mwili(body language)

Jf wanawake Na wasichana hawajawahi kuwashuhudia muonekano Wa men wengi Wa jf
Ila wakati mwingine hushawishika
Kukubali miadi Na hatimaye kuonana ana kwa ana au hata kutikisana nyavu!

Mwanamke huyu je anakuwa amevutiwa Na mwandiko au intelligence ya mwanaume?

Isitoshe wapo wanawake jf ambao hukili wazi kuwa kuna mwanaume anampenda humu ila anahofia kumuanika

Tangu nimekuwa member hapa kwa ka research kadogo(uchunguzi)
Nimebaini mwanaume wafuatao wanashobokewa sana humu
Samahani nitakao wataja bila idhini yenu ashakumu si matusi
Daby,smart 911
Nyani ngabu
Le mutuz
Saint ivuga
B40
The bold
Ontario
Wakina dada fungukeni mnawapendea nini hawa jamaa maana unaweza kukuta ni wapiga debe tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
Daaa mkuu wape hongera

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanashobokewa au unawashobokea?
Wanashobokewa na nani??
Kwa kifupi sijaona labda useme umekuja na lifekero lako ujifungulie Uzi ujiweke kwenye list.
Mwanaume michango ya maana bana, na siyo idadi ya wadada anao chitchat nao [emoji57][emoji57][emoji57][emoji57].
Kwenye hiyo list..
Nyani Ngabu
le mutuz
The bold
ONTARIO
Ongeza
The Boss
mshana jr
Mzizi mkavu
Na wengineo wenye michango inayoeleweka,
Sasa baada ya kuweka list yangu nasema hiviii..nawashobokea kwa sababu wana michango ya maana inayojenga.
Uki mind njoo Nipige nipo nyumbani.
Kuna huyu jamaa anajiita Eiyer na mwengine ni BAK huwezi choka kuushibisha ubongo kupitia hawa jamaa
 
Back
Top Bottom