Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Walaa huyo hapo ndo kidumu..just in caseHeheh...sasa si naona hapo unataka unifanye kidumu eenh
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walaa huyo hapo ndo kidumu..just in caseHeheh...sasa si naona hapo unataka unifanye kidumu eenh
Wewe ndie mfariji wa moyo wanguNimekuona sweet and I love you more
Hata wale kina fidodido simu hizi wamepumzika kukufatilia ee
Wangejua ligi yako si ya mchezo mchezo wangenyamaza
Niletee hilo la pink sawaa na simu yangu
Ujue nakusubiriaga tu uje ,,umeniweka wewe
LolKama kuna watu wamesha kukaza humu basi usimtaje huyo Jamaa.
Asante NN,..Happy weekend Angel....😉
Daaa mkuu wape hongeraIngawa wanasema uzuri Upo kwa anayeona(beautiful is on the eye of the beholder)
Pia ingawa wanawake ni wagumu sana kueleza hisia zao kwa mwanaume wanayempenda at the first time ila hubaki Na ukweli huo moyoni Na aghalabu hujaribu kuzieleza au kufikisha hisia hizo kwa
Lugha ya mwili(body language)
Jf wanawake Na wasichana hawajawahi kuwashuhudia muonekano Wa men wengi Wa jf
Ila wakati mwingine hushawishika
Kukubali miadi Na hatimaye kuonana ana kwa ana au hata kutikisana nyavu!
Mwanamke huyu je anakuwa amevutiwa Na mwandiko au intelligence ya mwanaume?
Isitoshe wapo wanawake jf ambao hukili wazi kuwa kuna mwanaume anampenda humu ila anahofia kumuanika
Tangu nimekuwa member hapa kwa ka research kadogo(uchunguzi)
Nimebaini mwanaume wafuatao wanashobokewa sana humu
Samahani nitakao wataja bila idhini yenu ashakumu si matusi
Daby,smart 911
Nyani ngabu
Le mutuz
Saint ivuga
B40
The bold
Ontario
Wakina dada fungukeni mnawapendea nini hawa jamaa maana unaweza kukuta ni wapiga debe tu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Koh koh..[emoji44]
Hehehe nimekuachia kiroho safi aisee...kwanza penzi lenyewe nilikuwa nafosi tu isiwe tabuJishebedue mke mwenza akujue... ndo lengo langu!!
Kuna huyu jamaa anajiita Eiyer na mwengine ni BAK huwezi choka kuushibisha ubongo kupitia hawa jamaaWanashobokewa au unawashobokea?
Wanashobokewa na nani??
Kwa kifupi sijaona labda useme umekuja na lifekero lako ujifungulie Uzi ujiweke kwenye list.
Mwanaume michango ya maana bana, na siyo idadi ya wadada anao chitchat nao [emoji57][emoji57][emoji57][emoji57].
Kwenye hiyo list..
Nyani Ngabu
le mutuz
The bold
ONTARIO
Ongeza
The Boss
mshana jr
Mzizi mkavu
Na wengineo wenye michango inayoeleweka,
Sasa baada ya kuweka list yangu nasema hiviii..nawashobokea kwa sababu wana michango ya maana inayojenga.
Uki mind njoo Nipige nipo nyumbani.
Umekata tamaa mapema sana... pambana kidogo labda na yeye atakupenda. Mi napenda competition mwenzio.. Cc DabyHehehe nimekuachia kiroho safi aisee...kwanza penzi lenyewe nilikuwa nafosi tu isiwe tabu
Sent using Jamii Forums mobile app
wenye pesa ni akina Mangi, achana na hao masharobaronaomba uendelee na utafiti uniletee wenye pesa .. nashukuru
Ujue nina moyoo eehWewe ndie mfariji wa moyo wangu
Asante kwa kuniona babe...
Usiache kuniona kila siku...