Nani anakuvutia zaidi hapa JamiiForums?

Nani anakuvutia zaidi hapa JamiiForums?

Mh! sasa jukwaa la sie akina chekechea na kuwepo na foleni mbona sioni correlation Sakayo? Kuadmire kazi ya Muumba wetu muhimu sana. Na mimi kwa kweli hupenda sana kufanya hivyo. Bi dada kama kapendeza kwanini nimnyime haki yake? Humwambia tu "Umependeza" na bahati nzuri sijawahi kumwagiwa maji machafu yenye ukoko wa ugali, maji ya moto au kurushiwa matusi ya kwenye viwalo hahahahaha lol!

Hahaha
Sasa Ulikuwa wabisha nini, halafu wasema hamna foleni
 
Back
Top Bottom