rubii
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 14,032
- 18,540
[emoji4] [emoji6] mie nawewe damdamaahh!!
niliwaza tu, kodi za magufuli zinichangane, na ww pia?
Sent From Ikulu-Magogoni street
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji4] [emoji6] mie nawewe damdamaahh!!
niliwaza tu, kodi za magufuli zinichangane, na ww pia?
Sent From Ikulu-Magogoni street
Mtahubiria wapihahahha wewe ni mwinjilist hakuna neno!tunaeza hubiri injili pamoja watu wamjue Yesu!lol
Hiyo "general" hapo kwa jina lako ni lugha gani!bado unanichanganya tu.
Sent From Ikulu-Magogoni street
Wacha weee. [emoji12]Kwangu nnao kama wanne hvi yaani nikisomaga miandiko yao nahisi kufariki lol
EMTHizo code zimenishinda ujue
mmmmmUmeonaee... Mwanaume sura ya baba, wenye sura za mama zao tabu tuuu
Nakuona nakuonaaUmeona eeeh!! Naachaje kumpenda sasa?
Weekend hiyoooooo
Ndo user name yake hiyoo anti.... Mbona mgeni kwangu
Usinisemee banaa. Namuadmire tuuu. Si zaidiNakuona nakuonaa
Nilivo ona yule mnyakusa ana manyota kibao na kupigiwa masaluti, afu anaitwa general nami nikalichukua hvyohvyo,Hiyo "general" hapo kwa jina lako ni lugha gani!
Nini mbaya teenaammmmm
Sent From Ikulu-Magogoni street
Uamini mm ni handsamu kama George crown!hahahahahahahahahahhahahahh nimecheka !eti ana kudisqualify!hahahah promo @ work! jaman hata mm mwanaume
mzuri walaaa!mwanaume awe mchachu mchachu aaaaaaaahhhhhhhh! ila sio type za wa.si,ra,!hapana type fulan hv sijui kama nani vile dah....!wanaume wazuri 99%huwa wanaringa hawajui kupenda anajua anaytime nang'oa chombo!
Yes hiyo ndio user name yake, Lazima awe mgeni kwako, MMU huwa anatokea kwa nadra sana, na ikitokea comment yake lazima ifunike zoooote[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Ndo user name yake hiyoo anti.... Mbona mgeni kwangu