Nani anakuvutia zaidi hapa JamiiForums?

Nani anakuvutia zaidi hapa JamiiForums?

sijanywa muda kweli kweli mamy nipo kwangu najinywea maji tu hapa![HASHTAG]#shilawadu[/HASHTAG] tym... huku namsubiria mume huenda akawahi kurudi mweeeeee!(tunaambiwa tusilale kabla waume zetu hawajarud ndani,tuwafungulie milango,kuwavua viatu,kuwapakulia chakula) cc Heaven Sent ,espy ,Heloo ,Nalendwa

Hahaha!, usinikumbushe kujishusha kuliko tukuka
MBITIYAZA
😀😀😀
Mpaka mtu anashindwa hata kujijali mwenyewe tena...lol!
Kazi kwei kwei..
 
Miaka3 iliyopita nilikuwa mhanga wa kuchelewa kurudi nyumbani kwa ajili ya vijiwe vya ulabu..nikawa namtesa kweli mtoto wa watu..ila yale maombi sitakuja yasahau mana ilikuwa ikifika saa10 usiku hakuna kulala tena japokuwa huombi ila utalalaje sasa mwenzio yupo anakemea ulevi...aisee shetani wa alishindwa mwishowe sasa pombe sijagusa mwaka wa 3 sasa...ila mpira nilimwambia atanisamehe huo siwezi angalia nyumbani..so nikutie moyo kwamba yote yawezekana katika Jina la Yesu
Hallelujah
 
Haha usinikumbushe last time ameniquote, nikasema huyu ntamjibu akili zikinijia vizuri, otherwise I'll end up embarrassing myself, ndo nakumbuka hapa kuwa sikumjibu hadi leo[emoji85] . That dude is smart khaaa
Nilidhani naliona hilo peke yangu, yaani inabidi tu uishie kulike maana like serious unajibu nini sasa!!!
Cc Nalendwa
 
sijanywa muda kweli kweli mamy nipo kwangu najinywea maji tu hapa![HASHTAG]#shilawadu[/HASHTAG] tym... huku namsubiria mume huenda akawahi kurudi mweeeeee!(tunaambiwa tusilale kabla waume zetu hawajarud ndani,tuwafungulie milango,kuwavua viatu,kuwapakulia chakula) cc Heaven Sent ,espy ,Heloo ,Nalendwa
Hahahaaaaa!! Usinikumbushe jamani, we msubiri bwana umvue soksi.
 
Nilidhani naliona hilo peke yangu, yaani inabidi tu uishie kulike maana like serious unajibu nini sasa!!!
Cc Nalendwa

You know you just put a smile on ma face right now, right?!..[emoji2]
Asante shostito, Mungu Akubariki na kukuzidishia Upendo wake mkuu upitao mapendo yote, ubarikiwe utokapo na ubarikiwe uingiapo. Na kila unachogusa kibarikiwe na kurudi mara mia elfu, na mkono wowote utakaoinuka against you?, nina uweka chini.
Uzidishiwe na Ubarikiwe milele Amina!!!!
[emoji8] [emoji16] [emoji2] [emoji87] [emoji85]
 
Back
Top Bottom