Nani anakuvutia zaidi hapa JamiiForums?

Nani anakuvutia zaidi hapa JamiiForums?

No Smart911 you give me more than what I do for you my king that's why I always say that am blessed to have you sweetheart.
Ndomana muda mwingine napataga presha my king I don't want to lose you Smart911 wangu I love you mimiiii
Love watching you smile mahondaw wangu... I have never regret every moment we spent together..

When you are quite i start wondering what are dreaming, wondering if it's me you're seeing... Instead I kiss you and thank God we're together... I just wanna stay with you...
 
Thank you so much my king. Am so happy to hear that from you my king.

God forbid but you what Smart911, Where will put my face for example if you leave me!??? Just imagine Smart911 wangu.. I will die kwa kuchambwa. Hasa kazini make naringaaaa sio mchezo. Zile sapriz zile dahhhhhhhhhhh. Thanks God kwakweli. Sifanyi makosaaaaaa na Mungu anisaidie tu kwakweli [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Ingawa wanasema uzuri Upo kwa anayeona(beautiful is on the eye of the beholder)

Pia ingawa wanawake ni wagumu sana kueleza hisia zao kwa mwanaume wanayempenda at the first time ila hubaki Na ukweli huo moyoni Na aghalabu hujaribu kuzieleza au kufikisha hisia hizo kwa
Lugha ya mwili(body language)

Jf wanawake Na wasichana hawajawahi kuwashuhudia muonekano Wa men wengi Wa jf
Ila wakati mwingine hushawishika
Kukubali miadi Na hatimaye kuonana ana kwa ana au hata kutikisana nyavu!

Mwanamke huyu je anakuwa amevutiwa Na mwandiko au intelligence ya mwanaume?

Isitoshe wapo wanawake jf ambao hukili wazi kuwa kuna mwanaume anampenda humu ila anahofia kumuanika

Tangu nimekuwa member hapa kwa ka research kadogo(uchunguzi)
Nimebaini mwanaume wafuatao wanashobokewa sana humu
Samahani nitakao wataja bila idhini yenu ashakumu si matusi
Daby,smart 911
Nyani ngabu
Le mutuz
Saint ivuga
B40
The bold
Ontario
Wakina dada fungukeni mnawapendea nini hawa jamaa maana unaweza kukuta ni wapiga debe tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwamume MASHINE...kama unapenda PESA mtafute MANJI na BAKHRESA.
 
Smart na Maho ni jf couple of the year asee, inabidi jf founders wawafanyie jambo at the end of the year. You guys know how to flirt online, nikidhani najua kuflirt kumbe bado "amateur"!!

mie ntaonekana kama nawaonea gere hapana kuflirt wajiflitishe wapendvyo lakin kuna vtu vya kuangalia jman! ipo siku utasikia bby mpaka sasa nawaza uliponikumbatia kwa ngv jana usk!....mie wala sio mshamba kihivyo jman!wala sina umri mkubw kihivyo nionekane nimetupwa na wakat!.....wapongeze tu ila muangalie na vitu vya kuandka! unaandka hayo ili muonekane mnagongna au!!!!!!!!!! asante Mama mbiti kunilea namna hii kwkweli!
 
Love watching you smile mahondaw wangu... I have never regret every moment we spent together..

When you are quite i start wondering what are dreaming, wondering if it's me you're seeing... Instead I kiss you and thank God we're together... I just wanna stay with you...
Khakhaakhaa Vyenye you know me very well huwa nashtukaje.. OMG how did you know!!! Najikuta tu natabasamu.. Ukipata mtu anaekujulia vizuri ni raha sana. Ukiwa tofauti tu he / she notices changes na kukuuliza what's wrong with you swewtdarling hata kama ulinuna mwenyewe tu unajikuta.. .

Thanks once again Smart911 my king
 
mie ntaonekana kama nawaonea gere hapana kuflirt wajiflitishe wapendvyo lakin kuna vtu vya kuangalia jman! ipo siku utasikia bby mpaka sasa nawaza uliponikumbatia kwa ngv jana usk!....mie wala sio mshamba kihivyo jman!wala sina umri mkubw kihivyo nionekane nimetupwa na wakat!.....wapongeze tu ila muangalie na vitu vya kuandka! unaandka hayo ili muonekane mnagongna au!!!!!!!!!! asante Mama mbiti kunilea namna hii kwkweli!
Mbiti, kuna kitu wazungu husema, "live and let live". Kila mtu anachagua maisha anayoyataka, consequences zake sote tunazijua but that's what mahondaw has chosen.

Hivi leo tunaenda kule?[emoji12] [emoji1]
 
teh!haya mie mhenga nakubali !mie ndo naamka!jana nimechelewa kulala!.najua kbs na ww huend maana sasa hv lesson session i thnk!
 
Ingawa wanasema uzuri Upo kwa anayeona(beautiful is on the eye of the beholder)

Pia ingawa wanawake ni wagumu sana kueleza hisia zao kwa mwanaume wanayempenda at the first time ila hubaki Na ukweli huo moyoni Na aghalabu hujaribu kuzieleza au kufikisha hisia hizo kwa
Lugha ya mwili(body language)

Jf wanawake Na wasichana hawajawahi kuwashuhudia muonekano Wa men wengi Wa jf
Ila wakati mwingine hushawishika
Kukubali miadi Na hatimaye kuonana ana kwa ana au hata kutikisana nyavu!

Mwanamke huyu je anakuwa amevutiwa Na mwandiko au intelligence ya mwanaume?

Isitoshe wapo wanawake jf ambao hukili wazi kuwa kuna mwanaume anampenda humu ila anahofia kumuanika

Tangu nimekuwa member hapa kwa ka research kadogo(uchunguzi)
Nimebaini mwanaume wafuatao wanashobokewa sana humu
Samahani nitakao wataja bila idhini yenu ashakumu si matusi
Daby,smart 911
Nyani ngabu
Le mutuz
Saint ivuga
B40
The bold
Ontario
Wakina dada fungukeni mnawapendea nini hawa jamaa maana unaweza kukuta ni wapiga debe tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
hapana nahisi wanapendaga intelligence

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thank you so much my king. Am so happy to hear that from you my king.

God forbid but you what Smart911, Where will put my face for example if you leave me!??? Just imagine Smart911 wangu.. I will die kwa kuchambwa. Hasa kazini make naringaaaa sio mchezo. Zile sapriz zile dahhhhhhhhhhh. Thanks God kwakweli. Sifanyi makosaaaaaa na Mungu anisaidie tu kwakweli [emoji120] [emoji120] [emoji120]
mahondaw wangu... Siachani nawe... Maana upo moyoni... Anything for you my queen...
 
Khakhaakhaa Vyenye you know me very well huwa nashtukaje.. OMG how did you know!!! Najikuta tu natabasamu.. Ukipata mtu anaekujulia vizuri ni raha sana. Ukiwa tofauti tu he / she notices changes na kukuuliza what's wrong with you swewtdarling hata kama ulinuna mwenyewe tu unajikuta.. .

Thanks once again Smart911 my king
A man gat to do what a man has to do...
Mapenzi siyo nanilii peke yake... Ni pamoja na kujuana, kuelewana na kuendana...
 
Back
Top Bottom